Ananitext; Mjina nalala love. Ghafla naona SMS nyingine; 'Baby niko getini'. Ghafla naona tena, 'sorry, wrong txt.

Mjina Mrefu

JF-Expert Member
Dec 6, 2016
3,030
3,324
Waku,

Kuna huyu mchuchu wangu huyu

Jana usiku tukawa tunachati. Kama saa nne hivi usiku, akaniaga kuwa 'Mjina nalala love, kesho kazini mapema.' Baada ya dk km kumi hivi, nikaona tena txt, 'Baby nimefika getini nifungulie'. Kwa bahati mbaya nyumba nayoishi haina geti.

Nikasema pengine alitaka kusema yupo mlangoni akakosea. Nikafungua mlango sioni mtu.

Baada ya dk km mbili hivi akatuma tena txt 'sorry baby, wrong txt'.

Nikajua hapa ni manyoya tu kashaenda kugegedwa.

Hapa ananidanganya alikua anacheza true and dare na rafiki yake akajikuta kanitext mimi.

Nishapiga chini mimi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hii thread nimeshawahi kuiona hapa JF au ni dejavuu??
 
Namna hio mwana..kama vipi mida ya baadae ingia kitaa chukua mtoto mkare zaidi ya huyo...
 
Waku,

Kuna huyu mchuchu wangu huyu

Jana usiku tukawa tunachati. Kama saa nne hivi usiku, akaniaga kuwa 'Mjina nalala love, kesho kazini mapema.' Baada ya dk km kumi hivi, nikaona tena txt, 'Baby nimefika getini nifungulie'. Kwa bahati mbaya nyumba nayoishi haina geti.

Nikasema pengine alitaka kusema yupo mlangoni akakosea. Nikafungua mlango sioni mtu.

Baada ya dk km mbili hivi akatuma tena txt 'sorry baby, wrong txt'.

Nikajua hapa ni manyoya tu kashaenda kugegedwa.

Hapa ananidanganya alikua anacheza true and dare na rafiki yake akajikuta kanitext mimi.

Nishapiga chini mimi

Sent using Jamii Forums mobile app
Myman like that. Hapana kuchezewa michezo ya kitoto kama hiyo.. kajikanyaga umejua.. game over

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uliwahi kosea siku moja tu, ukaniambia unaumwa hautaenda beach wakati tulikuwa tumekubalia kwenda. Ndiyo ukasema umekosea tunaenda kama tulivyokubaliana. Hapa nikajua kuna boya mwezangu huko kapigwa chenga.
Alishindwa hata kusema nilikuwa nakutania au ndio kupagawa, hivi ni kwa nini mimi sijawahi kukosea kutuma text yani niko makini balaa

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom