Hivi ni kweli mtu ku 'fall in love' au kuwa 'deep love' nyakati hizi kumesha pitwa na muda?

Mr pianoman

JF-Expert Member
May 22, 2019
2,545
6,086
Kama kichwa kinavyo sema wakuu, kumekuwa na maneno mengi kuwa zile nyakati za mtu kupenda kupindukia zimesha pitwa na muda.

Eti wanadai siku hizi mapenzi yamekuwa bora liende tu ili kusogezeana siku tu. Hii imekaaje wakuu kuna ukweli wowote hapa au ni maneno ya wahuni tu na walio kata tamaa ya kupenda/kupendwa?
 
Si kweli kabisa.
😃😃kuna mtu moyo wangu ulimdondokea nyang’anyang’a mda mwingi Namuwaza yeye tu🤪🤪mjinga yule kumbe yeye anapenda bangi nakuwaza kubet nilikuwa sijui aise😆😆😆😆
 
kwa wanawake wa siku hizi kufall in deep love, ni kujisokomeza kwenye tanuli ambalo bado halijawashwa moto!
Kumbe ndo mana mnatutesa wanawake wengine ambao hatuna hatia kwa makosa ya hao wanawake wenu wasiowaaminifu😢😢😢😌😌😌msitufanyie hivyo mnatutesa sana.mwanamke akionyesha kukupenda mpende na wewe.kuliko kutuhukumu kwa makosa ya wanawake wengine.😭😭😭😭
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom