Mapenzi ni pesa, vijana tuendelee kusaka pesa kwa nguvu zote

Eizyek

JF-Expert Member
Aug 12, 2019
800
2,767
Wapendwa habari ya jioni ................ leo jion natoka zangu kwenye mizunguko yangu nikapigiwa simu na mpenzi wangu ambae tupo mbali yeye yupo mkoa mwengine na mimi mkoa mwengine baada ya salama mbili tatu na kusalimiana vizur akaniambia. anaumwa na uo mkoa yupo kufanya shuuli za wazazi wake. nikamuuliza wazazi umeewaambia ananiambia no sijawaambia nimemuuliza shida nini anasema naogopa kumpa mama stress.. nikamwambia ni vizur ukamwambia akasema apana nikammpa pole na kukata simu ..............

baada ya mda ananipigia tena na kwa number ngeni na kuniambia naomba unitumie pesa nikamuuliza ii number ya nani akasema ya jirani yake nikamuuliza shingapi nikutumie akasema 40k nikasema sawa na kuuliza jina litakalo kuja kwenye malipo navotuma. Nakuta anamuuliza sauti inajibu ya kiume mwambie flani apo apo machale yakanicheza nikasema sawa na kukata simu...... nikawaza na kuwazua nikaona nitume 20k na kubaki kimya nakuta ananipigia uku amechukia na kusema mbona umetuma 20k baada ya 40k ndo nini nikamwambia sina iyo ela kwa sasa kuna emergency nimepata kidogo amekata tu cm na mimi nimevunga

Ila nimejua mapenzi pesa apa naona anaweza vungiwa mazima maana kutuma pesa afu anatumbua na fala mwengine uo ujinga siwezi
 
Mbona ushaweza mkuu
 
Kwanini tusifanye kampeni ya kuwaroga hawa dada zetu ili tupunguze makali maana nyuzi za hela kila siku zinaibuka juu Yao..
kwa Dunia ya sasa pesa ndo kila kitu mapenzi ya kweli walifaidi wazee wetu uko
 
Sasa umeshtuka kwamba mapenzi pesa baada ya kutuma hiyo twenty?

Ungemtumia muda wa maongezi wa miatano' na bando la sms mwezi.
Umekosea Sana jitahidi kusanuka!
 
Wapendwa habari ya jioni ................ leo jion natoka zangu kwenye mizunguko yangu nikapigiwa simu na mpenzi wangu ambae tupo mbali yeye yupo mkoa mwengine na mimi mkoa mwengine baada ya salama mbili tatu na kusalimiana vizur akaniambia. anaumwa na uo mkoa yupo kufanya shuuli za wazazi wake. nikamuuliza wazazi umeewaambia ananiambia no sijawaambia nimemuuliza shida nini anasema naogopa kumpa mama stress.. nikamwambia ni vizur ukamwambia akasema apana nikammpa pole na kukata simu ..............

baada ya mda ananipigia tena na kwa number ngeni na kuniambia naomba unitumie pesa nikamuuliza ii number ya nani akasema ya jirani yake nikamuuliza shingapi nikutumie akasema 40k nikasema sawa na kuuliza jina litakalo kuja kwenye malipo navotuma. Nakuta anamuuliza sauti inajibu ya kiume mwambie flani apo apo machale yakanicheza nikasema sawa na kukata simu...... nikawaza na kuwazua nikaona nitume 20k na kubaki kimya nakuta ananipigia uku amechukia na kusema mbona umetuma 20k baada ya 40k ndo nini nikamwambia sina iyo ela kwa sasa kuna emergency nimepata kidogo amekata tu cm na mimi nimevunga

Ila nimejua mapenzi pesa apa naona anaweza vungiwa mazima maana kutuma pesa afu anatumbua na fala mwengine uo ujinga siwezi
Usipanic mkuu.

Yawezekana kaenda kuazima tu simu.
 
Yaani ninge-cancel muamala fasta sana yaani.

Back
Top Bottom