Baba ilumba
Member
- Apr 18, 2020
- 37
- 49
Wasalaam bandugu ba JF. Natumai mu wazima nyote
Leo ningependa tushare utani tunaopenda kutaniana na wapenzi wetu.
Kwa upande wangu napenda kumtania mama Ilumba kwa kumwambia "BABA YAKO ANGENIKATAA SIKU ILE HAKI YA NANI NINGELALA KWENU MIMI" basi wangu wa moyo anachekaa
Na wewe unapenda kumtania nini au kwa jambo gani wako mpenzi?