Applicant
JF-Expert Member
- Feb 12, 2020
- 1,962
- 1,757
Mke wangu mtarajiwa, ambaye nimepanga nimuoe, hakika anajifua vilivyo ili kuingia kwenye ndoa. Kwanza hana mambo mengi, msikivu na mstahimilivu wa nyakati zote, akipokea mshahara wake ananipa wote nimshkie, na akiwa na shida anaomba hela kiunyenyekevu hata Kama mshahara wake nakaa nao Mimi, Kwa hili najivunia Sana.
Sio mtu wa mashoga, Yaani anaishi maisha yake marafiki anao wachache tuu, yani hata nikimuuzi hajawahi kunijia juu, Ananifurahisha sana. Mwaka huu wa Uchaguzi mpaka unaisha namimi lazima nipate mke mwema.
Pompeo.