Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Napendwa na mke wa mtu mama tu ana life yake nzuri tu na mimi pia nina maisha yangu ya kunifanya niishi hapa jijini. Napata usumbufu mkubwa sana wa huyu mwanamke kiasi kwamba nafikiria kumwambia...
1 Reactions
62 Replies
8K Views
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Kuna tetesi nilikuwa ninazisikia tangu zamani eti...
8 Reactions
100 Replies
13K Views
Habari waungwana, nipo kwenye dilemma ndugu zangu, naombeni ushauri wenu please. Mwaka jana mwishoni nilianzisha mahusiano na binti fulani, tukatokea kupendana sana kiasi kwamba binti akawa...
4 Reactions
73 Replies
6K Views
Natumai hamjambo wapendwa, Upendo wa ndoa/mahusiano strong huhitaji katiba itakayoufanya uwe active na wenye msisimko kwa wahusika, katiba hiyo itakua na mapendekezo mlokubaliana kufanyiana ajili...
1 Reactions
5 Replies
841 Views
Nauliza kwa kutaka kujua Wakati wanafunga ndoa wakirisitu huwa wanasema hayo maneno ya kuwa mwili mmoja. Hii ina maana gani? Nimejaribu kumuuliza ndugu yangu mmoja mlokole kasema anaona aibu...
1 Reactions
17 Replies
4K Views
KWANINI MAHUSIANO / NDOA NYINGI HAZIDUMU? Unapoingia katika ndoa au mahusiano huwezi kufikiria hata kidogo kwamba asilimia kubwa ya ndoa au mahusiano hayo kufeli.Ndoa au mahusiano yanaweza kufeli...
6 Reactions
356 Replies
41K Views
Mimi ni mwanaume.Kuna tatizo limenitokea kupoteza hamu ya kufanya tendo la ndoa. Nakula na kulala vizuri wala sina mawazo yoyoe ila nimepoteza ghafla hamu yakufanya tendo la ndoa na mpenzi wangu...
0 Reactions
19 Replies
10K Views
Wana Jf yani nimekoswa koswa vibaya mno, nipeni pole na si rudii tena, nina nia njema ya kuoa lakini sasa nakutana na kina dada ambao sio wazuri, kwanza masharti ya kuoa ni kwamba lazima niende...
26 Reactions
150 Replies
16K Views
Kwa kweli wanawake hii kitu ngoja niwaambie zile harufu zenu ambazo huwa mnatoa kabla hamjajipulizia pafyumu huwa zinaleta hamasa kubwa sana ya mapenzi kuliko hayo mapafyumu ya gharama...
9 Reactions
62 Replies
7K Views
Nina 50,000 tu ghafla nimepokea taarifa tatu zote zinataka pesa, nitoe kwa nani na nimuache nani? 1. Mama mzazi anahitaji pesa aweze kuhudhuria msiba wa mke wa kaka yake 2. Mtoto wangu anatakiwa...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
12:00 Nakuja 13:00 Ndio naoga 15:50 Navaa nguo 17:40 Ndio natoka 18:30 Nipo kwenye bajaji 19:20 Babe sitakuja mama ameniambia niwapikie wageni wanakuja Halafu ikifika miaka 38 hujaolewa unaanza...
8 Reactions
33 Replies
4K Views
Hi As thread said maisha ambayo fake life is so expensive kama kuna mtu anayaishi aachane nayo. Mpaka nimekuja kusema hiki kitu it means nina experience kwamba nishamuona mtu ana struggle kuishi...
5 Reactions
19 Replies
4K Views
Najua siwezi kupata ushauri wa maana hapa isipokuwa naandika tu kupunguza Uchungu na hasira. Mwanzo nilihisi ni nywele za kitoto lakini binti huyu anavyozidi kukua ananipa tafakari mpya kabisa...
12 Reactions
85 Replies
8K Views
Vijana wengi siku hizi tumekuwa na makasiriko mengi kuhusu mahusiano. Mara nyingi kesi ikiwa ni usaliti. Sasa unapaswa kuelewa haya nitaanza na wanawake kisha nitafatia wanaume. elewa kwamba. 1...
8 Reactions
60 Replies
6K Views
Leo hapa tumelivuruga! Kuna mdada tulimhisi kuwa anatoka na bosi (bosi ni 50s while binti ni 20s). Sasa huyu dada full kuchelewa na kazi anafanya akijisikia. Leo tumeamua kumwambia anatukwaza! Wee...
7 Reactions
32 Replies
5K Views
Habari zenu wakuu, Ni matumaini yangu mpo fresh kabisa, mnaendelea na majukumu ya Ujenzi wa Taifa letu Tanzania na Taifa la Mungu, kwa wale wenye imani hiyo. Kuna tabia ya wanandoa na wasio...
12 Reactions
142 Replies
12K Views
Nina ongelea nafsi ya kike kwakua mimi ni wa kike. Kuna wanaume wanapenda wanawake weupe, weusi, warefu, wasomi, wanaojua ku challenge, wanaojua biashara, wenye msambwanda. Sasa itokee...
34 Reactions
54 Replies
7K Views
Leo mida ya jioni naenda kukutana na ex wangu ambae penzi letu lilikufa kimya kimya kitambo chanzo cha penzi letu kufa kimya kimya ni mimi baada ya kuona mwenzangu Kabadilika kitabia haeleweki...
2 Reactions
92 Replies
8K Views
Yeah Wana MMU. Ila mi nadhani haya mambo yako kwa wenzetu sana. Mi najua mapenzi yetu si ni ya kikomando. Ila Leo huko dunia nyingine eti..Ni siku ya wapenzi wa kiume.. Kama mnavyosikiaga Happy...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom