Uzoefu kuhusu dating site "victoria hearts

whitefather

Member
May 29, 2018
89
75
Habari ya wakati huu,
Kama kichwa cha habari kinavojieleza ,naomba wenye uzoefu kuhusu dating site hiyo ya Ukraine.je kuna yoyote ambaye kafanikiwa kupata mwenza kwa hiyo site,Maana nimeingiwa na wasiwasi baada ya kuchati kidogo halafu nikaambiwa nifanye malipo ya dola 3 ili niendelee kupata huduma;pili idadi ya wanaojiunga ni kubwa sana ndani ya dakika wanajiunga member zaidi ya 100
Je hakuna scams.
Nitapenda kupata mrejesho kwa waliofanikiwa.
 
Upo bongo? Hapo utatwanga tu mkuu, hizo Mara nyingi zinakuwa na potential ukiwa mahali husika, kumbuka wanahitaji mapenzi hao sio chit chat za mtu aliye dunia ya tatu huku. Hizo dollar fanyia shughuli nyingine tu chief.


Let's meet at the top, cheers
 
huyu jamaa unaeza muuzia mbuzi online kisha ukamwambia nimemwagiza mbuzi anakuguata
 
Dating sites nyingi hivyo ndivyo unavyoaccess huduma zao.

Mfano Badoo utaambiwa ulipie akaunti yako iwe premium ili mtu akiingia unakua juu kwenye search.

Utaambiwa mtu kalike au katembelea profile yako lakini ili umuone utaambiwa ulipie.

Utaambiwa mtu anataka mchati lakini umtext utatakiwa kununua gifts.

So siyo scam as dating sites ndivyo zinavyooperate ila scam ni labda ukikutana Boyka ajifanye demu kisha akutait mahali akugonge
 
Kiongozi fanya kazi,makushauri tena tafuta kazi ufanye haya mambo ya kuingia gym kubebana na mavyuma huku kichwani ukiwa na mawazo upate mwanamke wa kizungu umpagawishe utapoteza muda wako.
 
Kiongozi fanya kazi,makushauri tena tafuta kazi ufanye haya mambo ya kuingia gym kubebana na mavyuma huku kichwani ukiwa na mawazo upate mwanamke wa kizungu umpagawishe utapoteza muda wako.
Ushauri murua kabisa.
 
Back
Top Bottom