Mwanaume ukiachwa na mwanamke unayempenda sana na unataka kumuumiza fanya yafuatayo

New york City

Member
Jul 24, 2020
85
150
Habari zenu ndugu zangu wana JF ni siku nyingine mpya ya Alhamisi iliokucha vizuri baridi ikiwa inapotea potea baada ya kupausha tangu june.

Niende moja kwa moja kwenye Mada kama kichwa kinavyoeleza, Habari ya kuachwa si ngeni kwa wanaume na wanawake na kadri siku zinavyokwenda imekuwa kama fashion fulani.

Mahusiano kuvunjuka huwasabishia watu maumivu sana kiasi ambacho baadhi ya watu hukosa uvumilivu na kuamua kuchukua uhai wao kwa sababu tu wameachwa.

Haya yote yanasababishwa na kitu kimoja tu, Mapenzi ni kama biashara Kuna loss na Profit. Ukiwa kwenye profit maana yake una advantage kwenye mahusiano huwezi kusumbuliwa na mwanza wako kwa sababu wewe ndo unagain zaidi, yaani umeuteka moyo wake zaidi lakini Ukiwa kwenye Loss wewe ni Mnyonge wa mahusiano yani mwenzi wako ndio ameshika maisha yako.

Loss na Profit vinahitaji balance inayoitwa BREAK EVEN POINT maana yake zero profit na zero loss hakuna hasara wala faida. Ukimpenda mwanamke kwa sababu ana matako makubwa utaenjoy lakini Utakuwa ume-take risk ya kupata loss muda wowote na ukimpenda mwanaume mwenye pesa utaenjoy lakini utakuwa kwenye risk ya loss and the vice versa.

Tuachane na hayo kama mwanaume ukiachwa na mwanamke unayempenda sana na unataka kumuumiza fanya yafuatayo

1. Kama alipenda utanashati wako, vaa vizuri zaidi kuliko before, kuwa smart like never, alafu waalike marafiki zake dinner bila yeye kiwepo wanunulie na vinywaji.

2. Like na ucomment post za marafiki zake kwenye mitandao ya kijamii, kama huna mtoto post picha za watoto kuenyesha unapenda sana watoto

3. Ukimkuta na rafiki zake, mwite rafiki yake mwambie unashida nae sana kuna issue ulitaka mdiscuss.

4. Tokea viwanja anavyopenda kwenda kabla hajafika unakunywa mbili tatu unamuacha unasepa.

Kama hujaona meseji ya I AM SORRY kwenye simu yako njoo unishike uchawi.

NB: Uchebe angefanya haya Shilole angekuwa amerudi mjengoni mda sana.
 
Scars

JF-Expert Member
Apr 8, 2017
22,006
2,000
Mi kawaida yangu hua n inferior moja hivi yani nikiachwa hua najiona kama nimedhalaurika sometimes hua najihisi kama nina deni vile au opponent nakua nimempa 3 points nje ya pitch.

Nacho kifanya hua natengeneza mazingira ya kumrudisha alafu akirudi tu namuacha mimi. Hapo nafsi yangu inakua imesuuzika vizuri nakua kama nimelipa deni lililokua linanisumbua
 
Maya Angelou

JF-Expert Member
Oct 19, 2019
880
1,000
Habari zenu ndugu zangu wana JF ni siku nyingine mpya ya Alhamisi iliokucha vizuri baridi ikiwa inapotea potea baada ya kupausha tangu june.

Niende moja kwa moja kwenye Mada kama kichwa kinavyoeleza, Habari ya kuachwa si ngeni kwa wanaume na wanawake na kadri siku zinavyokwenda imekuwa kama fashion fulani.

Mahusiano kuvunjuka huwasabishia watu maumivu sana kiasi ambacho baadhi ya watu hukosa uvumilivu na kuamua kuchukua uhai wao kwa sababu tu wameachwa.

Haya yote yanasababishwa na kitu kimoja tu, Mapenzi ni kama biashara Kuna loss na Profit. Ukiwa kwenye profit maana yake una advantage kwenye mahusiano huwezi kusumbuliwa na mwanza wako kwa sababu wewe ndo unagain zaidi, yaani umeuteka moyo wake zaidi lakini Ukiwa kwenye Loss wewe ni Mnyonge wa mahusiano yani mwenzi wako ndio ameshika maisha yako.

Loss na Profit vinahitaji balance inayoitwa BREAK EVEN POINT maana yake zero profit na zero loss hakuna hasara wala faida. Ukimpenda mwanamke kwa sababu ana matako makubwa utaenjoy lakini Utakuwa ume-take risk ya kupata loss muda wowote na ukimpenda mwanaume mwenye pesa utaenjoy lakini utakuwa kwenye risk ya loss and the vice versa.

Tuachane na hayo kama mwanaume ukiachwa na mwanamke unayempenda sana na unataka kumuumiza fanya yafuatayo

1. Kama alipenda utanashati wako, vaa vizuri zaidi kuliko before, kuwa smart like never, alafu waalike marafiki zake dinner bila yeye kiwepo wanunulie na vinywaji.

2. Like na ucomment post za marafiki zake kwenye mitandao ya kijamii, kuna huna mtoto post picha za watoto kuenyesha unapenda sana watoto

3. Ukimkuta na rafiki zake, mwite rafiki yake mwambie unashida nae sana kuna issue ulitaka mdiscuss.

4.Tokea viwanja anavyopenda kwenda kabla hajafika unakunywa mbili tatu unamuacha unasepa.

Kama hujaona meseji ya I AM SORRY kwenye simu yako njoo unishike uchawi.

NB: Uchebe angefanya haya Shilole angekuwa amerudi mjengoni mda sana.

Ukinifanyia mimi hizi njia ndio ticket ya kutokurudi kabisa
Njia zinaonyesha upo desperate kabisa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom