Mwanamke wa hivi anamaanisha nini?

frenderPH

JF-Expert Member
Oct 30, 2019
619
805
Wadau wangu wa JF nina mjadara mdogo kidogo ninaomba kushare na nyiny ni hiv

Kuna dem niilikutana nae chuo first year dem mzuri ambae anasifa zote ambazo kila mwanaume atahitaji kuwa nae katika mahusiano. Nilimtokea huyo dem kwa muda mrefu sana kama miezi 8 lakini siku zote jibu analonipa ni Yes kwamba ananipenda sana na kila siku lazima anitafute hata kama nikiwa bizee au nikivunga kumsahau kumtafuta lazima yeye awe wa kwanza kunitafuta But kitu kinacho nitatiza anasema ananipenda lakin swala la Deti Hataki

Ananipenda lakini kuDeti anaogopa hii inamaana gani
 
Nipe namba yake ya simu nimgombeze kwa Kingereza.
"We suppose to focus according our direction, according our environment, that's only way we can help our peoples. No body should come and say that his there to save the problems of our peoples, we are the one we are leader we suppose to change the direction"
 
ngoja wafuasi wake waje wasome hapa
 
Nipe namba yake ya simu nimgombeze kwa Kingereza.
"We suppose to focus according our direction, according our environment, that's only way we can help our peoples. No body should come and say that his there to save the problems of our peoples, we are the one we are leader we suppose to change the direction"
Ndiyo aliongea hivi huyo mwamba!!! 😂
Kama ni hivyo kuna umuhimu wa kuchangisha na hivyo kumlipa Ras Simba ili aweze kumsaidi
 
Wadau wangu wa JF nina mjadara mdogo kidogo ninaomba kushare na nyiny ni hiv

Kuna dem niilikutana nae chuo first year dem mzuri ambae anasifa zote ambazo kila mwanaume atahitaji kuwa nae katika mahusiano. Nilimtokea huyo dem kwa muda mrefu sana kama miezi 8 lakini siku zote jibu analonipa ni Yes kwamba ananipenda sana na kila siku lazima anitafute hata kama nikiwa bizee au nikivunga kumsahau kumtafuta lazima yeye awe wa kwanza kunitafuta But kitu kinacho nitatiza anasema ananipenda lakin swala la Deti Hataki

Ananipenda lakini kuDeti anaogopa hii inamaana gani
Huyo sio mwanamke ni msichana ama ni binti bado...mwanamke akikwambia mbwitu atakupa na sababu..kwio yenyewe kapewa bure na mola kisa cha kuibania ninini?
 
Wadau wangu wa JF nina mjadara mdogo kidogo ninaomba kushare na nyiny ni hiv

Kuna dem niilikutana nae chuo first year dem mzuri ambae anasifa zote ambazo kila mwanaume atahitaji kuwa nae katika mahusiano. Nilimtokea huyo dem kwa muda mrefu sana kama miezi 8 lakini siku zote jibu analonipa ni Yes kwamba ananipenda sana na kila siku lazima anitafute hata kama nikiwa bizee au nikivunga kumsahau kumtafuta lazima yeye awe wa kwanza kunitafuta But kitu kinacho nitatiza anasema ananipenda lakin swala la Deti Hataki

Ananipenda lakini kuDeti anaogopa hii inamaana gani
Geto kwako ashawai ingia?
 
Siku hizi vyuo vina wanafunzi wa kipumbav..deti ndo nini??
 
Nipe namba yake ya simu nimgombeze kwa Kingereza.
"We suppose to focus according our direction, according our environment, that's only way we can help our peoples. No body should come and say that his there to save the problems of our peoples, we are the one we are leader we suppose to change the direction"
Hahahaaaaa

We jamaa una visa sana
 
Yani hapo kijana unakuwa kama poyoyo, uyo demu inaonekana kuna mshikaji atakuwa anampa mzigo wewe anakufanya kama lofa jiongeze aisee
 
Wadau wangu wa JF nina mjadara mdogo kidogo ninaomba kushare na nyiny ni hiv

Kuna dem niilikutana nae chuo first year dem mzuri ambae anasifa zote ambazo kila mwanaume atahitaji kuwa nae katika mahusiano. Nilimtokea huyo dem kwa muda mrefu sana kama miezi 8 lakini siku zote jibu analonipa ni Yes kwamba ananipenda sana na kila siku lazima anitafute hata kama nikiwa bizee au nikivunga kumsahau kumtafuta lazima yeye awe wa kwanza kunitafuta But kitu kinacho nitatiza anasema ananipenda lakin swala la Deti Hataki

Ananipenda lakini kuDeti anaogopa hii inamaana gani
Anataka ndoa Kama wa kideti anaye
 
Usishangae huyu dogo mpaka pesa ya matumizi anatoa kwa huyo dame.

Ujinga wa huyu dogo niliufanya miaka 10 iliyopita!

Ndivyo inavyokuwaga mtu anajitutumua kuhudumia na kujali alafu bado unakaziwa tunda
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom