ushasema X, why akuumize kichwa ? si ufute namba ake, au muhide asioone status zako kama namba yake huwezi kufuta.. au bado unampenda 🌚jamani hii hali inaniumiza kila nikipost picha ya mwanaume X wangu anaonesha kukasilika sana hataki nipost picha za wanaume anasema nimu hide ili asione status zangu
Sijaelewa chanzo cha wewe kuumiajamani hii hali inaniumiza kila nikipost picha ya mwanaume X wangu anaonesha kukasilika sana hataki nipost picha za wanaume anasema nimu hide ili asione status zangu
Nilikuwa nikutukane lakin nimeacha. Hiv ww huyo bf wako angekuwa anapost pocha za x wake..? Ungejisikiaje.jamani hii hali inaniumiza kila nikipost picha ya mwanaume X wangu anaonesha kukasilika sana hataki nipost picha za wanaume anasema nimu hide ili asione status zangu
Itakua 39Jumla ya miaka Yenu nimingap?
Msome tenaNilikuwa nikutukane lakin nimeacha. Hiv ww huyo bf wako angekuwa anapost pocha za x wake..? Ungejisikiaje.
Unajua watu wengine huwa mnalitafuta balaa. Halaf mkija pigwa mashoka mnalalamika mitandaoni.. pumbav
Naungana nae, kwa kweli inauma hususani Kama bado mtu unampenda.jamani hii hali inaniumiza kila nikipost picha ya mwanaume X wangu anaonesha kukasilika sana hataki nipost picha za wanaume anasema nimu hide ili asione status zangu
Muhide tu 😂😂😂😂😂jamani hii hali inaniumiza kila nikipost picha ya mwanaume X wangu anaonesha kukasilika sana hataki nipost picha za wanaume anasema nimu hide ili asione status zangu
Muhide tujamani hii hali inaniumiza kila nikipost picha ya mwanaume X wangu anaonesha kukasilika sana hataki nipost picha za wanaume anasema nimu hide ili asione status zangu