Naomba kujua gharama za kufika rwanda

Naomba kujua gharama za kufika rwanda

murume

Member
Joined
Sep 14, 2013
Posts
90
Reaction score
80
Wakuu mm nimmoja wa watu navutiwa na nchi ya Rwanda, naomba kujua gharama na taratibu ya kwenda kutalii kama week moja, je pisi za huko zilivyo kalii zinapatikana kirahisi? Na pia viwanja vya kujivinjari hasa Kigali asnteni
 
Search swali Kama Hilo limewahi kuulizwa humu na Kuna maelezo ya kuzidi
 
Back
Top Bottom