Nimepoteza hamu ya kufanya mapenzi. Ushauri wako tafadhali

city center

JF-Expert Member
Jun 27, 2018
212
261
Hello MMU gurus,

Kwa kweli ni jambo la kushangaza sana kuona karibu miezi minne sasa sina hata ile feeling ya kupata sex. Nimetishwa na hii hali.

Masterbation sifanyi, porn siangalii wala sinaga hio tabia.

Naomba ushauri wako hapa mdau namna bora ya kurejesha hali kwenye mstari.

Asanteni sana
 
Kama hujaoa unapaswa umshukuru Mungu kwani umeepushwa na mengi, ila kama umeoa, kiukweli kuchapiwa is unkwepekable, wanakuja.!!
asante Carly kwa ushauri
kwa kweli hata kama sijaoa bado inaninyima amani nini kinaendelea

asubuhi napoamka kwenda toilet, mashine huwa inasoma 4G+ lakn baada ya kukojoa inapoa.

naona safi lakin kwann nikose hamu ya papuchi?

nile vyakula gani?

nifanye mazoezi gani?

au..dah
 
Achana nalo fanya vitu vyengine!

Subiri waganga waje labda watakuambia umerogwa😂😅
 
Zingatia hivyo hivyo mkuu mpaka hili janga la Corona lipungue au lipite kabisa.
 
Back
Top Bottom