Umri gani mtoto wa kike yuko Tayari kuolewa?

February Makamba

JF-Expert Member
Jan 31, 2020
2,116
2,820
Greetings earthlings,

Nimewasoma mnavyosoma kuhusu ndoa za utotoni ikabidi nijiulize utoto unaisha lini?

Kuna wanaosema ni kabla ya kubarehe/kuvunja ungo kuna wanaosema ni mpaka ufikishe 18yrs nk. nk.

Kuhusu mtoto wa kike kuolewa;Tukiachana na maswala ya kusoma shule na Sheria za nchi husika (haya sio constant duniani kote na hubadilika kulingana na muda)

Tukafikiria kama jamii iliyostaarabika,iliyoendelea katika karne hii je! Ni

Umri gani mtoto wa kike yuko tayari kuolewa?

maana kidini kuna dini zingine zinaruhusu hata mtoto ambaye hajabarehe aolewe kwenye vitabu vyao

Nahitaji jibu ethical
 
Kubarehe ni ishara ya mwili kuwa Sasa yupo tayari kuweza kushika mimba n.k namaanisha kimwili anakuwa kapevuka lkn tunapokuja kwenye swala la ndoa.. hili ni swala nyeti mkuu na hili swala linahitaji uyakinifu!.. kwenye ndoa si tu mtoto wakike aende kisa tu kapevuka kimwili no bali awe amepevuka kiakili pia!.. ndoa sio mchezo,kumuingiza mtoto wa kike kwenye ndoa kisa kapevuka kimwili tu hiyo haifai!.. ndio maana dada zetu sometimes hukimbia ndoa zao.
 
Sasa kuna mabinti wana 22 na bado 'hawajapevuka' kiakili na ndoa zinawashinda
 
Greetings earthlings,

Nimewasoma mnavyosoma kuhusu ndoa za utotoni ikabidi nijiulize utoto unaisha lini?

Kuna wanaosema ni kabla ya kubarehe/kuvunja ungo kuna wanaosema ni mpaka ufikishe 18yrs nk. nk.

Kuhusu mtoto wa kike kuolewa;Tukiachana na maswala ya kusoma shule na Sheria za nchi husika (haya sio constant duniani kote na hubadilika kulingana na muda)

Tukafikiria kama jamii iliyostaarabika,iliyoendelea katika karne hii je! Ni

Umri gani mtoto wa kike yuko tayari kuolewa?

maana kidini kuna dini zingine zinaruhusu hata mtoto ambaye hajabarehe aolewe kwenye vitabu vyao

Nahitaji jibu ethical
Binti akishabaleghe tu, huyo anafaa kuolewa.
 
Ndugu zangu, ndoa sio suala la kufanywa na watoto. Umri wa mtu mzima ni miaka kuanzia 18 then ongezea na hali ya akili yake kama ipo tayari na kama anaweza kuhimili ndoa.

Kwa ambao hamjaoa bado tafuta bikra na wewe jikane ukaishi naye huyo tuu maisha yako yote kwa uaminifu wote.

Au oa yeyote ila mwonyeshe uhalisia wako wa maisha, km ni mlevi mwambie, km ni mhuni pia ajue unaweza kuwa unatereza.

Bora uhai!
 
IMG-20181213-WA0006.jpg
 
Back
Top Bottom