Niliajiriwa katika wilaya moja huko mikoani miaka ya karibuni tu.
Baada ya kureport na kuanza kazi nikakutana na binti ambaye naye ameanza kazi kama mimi kanisani siku ya kwanza ya ibada tukajikuta tunazoeana na kuanza kutembeleana.Kama mjuavyo hasi na chanya hazichanganywi pamoja zikatulia nikajikuta nimekula mzigo.
Baada ya kufanya hivyo nikaanza kumkwepa maana hakuwa type yangu maana hana mvuto kiivyo (namaanisha kwa umbo na sura) ingawa kitabia yuko poa.Baada ya miezi miwili akagundua ni mjamzito na kuniambia mimba ni ya kwangu kiukweli huwa nina huruma sana na sipendi kuona mwanamke yoyote anahangaika kwa sababu huwa inanikumbusha mama yangu alivyokuwa akihangaika ili mimi nisome kwa kufanya kazi za hali ya chini sana! Huwa naumia sana nikimuona mwanamke anashida.
Nikaona nisimwaribie mtoto wa watu maisha nikaamua kumchukua na kukaa naye katika kukaa naye nikagundua ana tabia nzuri sana yaani niseme ni wife material tatizo tu hana mvuto wowote ule hiyo ikapelekea hata sex apate kwa bahati nasibu kutoka kwangu.
Baada ya miezi michache nikagundua huko kwao ana mtoto mkubwa sana aliyempata akiwa kidato cha kwanza.Hilo swala liliniumiza sana na kuniathiri kisaikolojia maana nimebaki kujihoji jamii yangu ikijua itanionaje?
Kuanzia hapo nikaanza kujikuta napoteza appetite naye kabisa mpaka ikafika hatua siwezi kusisimka nikiwa naye hata kwa dawa.Mwanzoni niliogopa nikadhani nimeishiwa nguvu za kiume ila nilipopiga mechi za ugenini nikajikuta bado niko kamili.Wazazi wangu wakatutembelea na kutuamuru tufunge ndoa ya serikali maana wote ni watumishi na ikumbukwe mpaka hapo hakuna anayejua yule binti ana mtoto mkubwa tu.
Nilikwepa wee ila atlast baada ya kujifungua mtoto anayefanana na mimi copy nikashindwa kuwakwepa wazazi wakatupeleka tukafunga ndoa.Baada ya miezi kadhaa nikashindwa kabisa kumtimizia haja ya mwili huku nikiwa na visingizio rundo mpaka nikakosa jipya.
Atlast nikaona nimkimbie kijanja,nikaacha kazi na kuhamia hapa mjini kisha nikajiajiri! Kule nikamwachia kila kitu akiishi as a family na mwanangu. Nashukuru Mungu hapa mjini kanibariki mambo yangu yamenyooka kimtindo.Namtumia matumizi yake na mtoto na kuwahudumia vizuri ila simtaki tena na nashindwa namna ya kufanya jamii inielewe maana familia yake wananipenda na kuniheshimu sana huku pia ya kwangu wanampemda yeye na kumheshimu ila tu hawajui ana mtoto!
Jamani sasa hivi ni kipindi cha likizo alihitaji aje kwa mmewe nimetafuta sababu mpaka nimefanikiwa kuzuia kuja kwake nimepoteza hamu naye kabisa hata afanye nini nikiwa nae sisimki wala sijihisi kuwa naye,hata kutembea nae njiani naona aibu maana hatuendani kabisa jamani!
Kwetu nishakwepa kumpeleka maana naona aibu watu watanionaje huko nyuma visu nilivyokuwa nachukua leo nione mwanamke wa ivi?Nahisi kama nimeathirika kisaikolojia au sijielewi sijui cha kufanya jamani.
Msaada pleaase