Baada ya kuamua kuachana na mke wa mtu ameamua kunipa mdogo wake niendelee kufaidi maisha, upendo wa namna gani

The Assassin

JF-Expert Member
Oct 30, 2018
4,355
17,319
Haya maisha kwa kweli ni matam sana. Sana.

Nimekua na mahusiano na mke wa mtu kwa miaka 3, kwa kipindi hicho chote alikua akiniomba nimpe mimba, anatamani anizalie, anapenda nimuachie damu yangu hata tutakapoachana asinisahau, nikamkatalia, sikuona busara kabisa kumzalisha mke wa mtu. Awali alikua anamsema mumewe vibaya sana kwangu hadi akawa anapanga mambo mabaya dhidi ya mumewe, nikawa namsihi na kumshauri asiwaze baya juu ya huyo mtu maana ndie mume wake na mimi ni mpitaji tu, dada akanielewa na mambo yakaenda sawa kabisa.

Baada ya muda huo wote hivi karbuni nikamwambia inabidi tuachane nifanye mambo yangu, akawa hana namna akasema tutakua tunapasha kiporo kama kawaida, nikasema haina shida. Kesho yake akaja na wazo kwa nini asinipe mdogo wake niendelee kufaidi, akaenda mbali zaidi akasema nimzalishe huyo dogo ili atulie maana ni mrembo sana na anamuona kama hataki kutulia.

Kwa kweli mimi kama mtaalam wa mipira iliyokufa, isingekua rahisi mimi kukataa hiyo 'soft ball' iliyopigwa kwangu nimalizie hasa ukizingatia huyu dogo amesimama na ana viwango wa kimataifa, nikamkubalia dada mtu bila hiyana, kumbuka huyo dogo hakua anajua kua namtafuna dada yake, so dada aliingia kwa gia kua amemtaftia boyfriend muelewa na mstaarabu, asiruke ruke apate mwanaume wa kueleweka hata itakapotokea la kutokea akabeba mimba basi mwanae asije kupata shida sababu baba yake anajielewa. Dogo akakubali, mbaba nikajitwalia kimwana naendelea kula bila shida. Dada yake mara moja moja akihitaji game anapewa, alafu anasema anamuonea wivu mdogo wake maana anafaidi sana. Anasema ni bora mdogo wake afaidi ila sio wajinga wajinga wengine.

Hakika mimi naweza kusema huyu mwanamke ana moyo wa kupekee, watu kama hawa ufalme wa mbinguni umeandaliwa kwa ajili yao na amini usiamini watu kama hawa walishasamehewa dhambi zao zote kabla hawajatoka kwenye matumbo ya mama zao. Huu ndio ule upendo mkuu alioufundisha Yesu wa rafiki kujitoa uhai au maisha yake kwa ajili ya rafiki zake.

Binafsi nawasihi wanawake mjifunze kutoka kwa mwanamke mwenzenu, huna haja ya kumbania mumeo au x wako asiendelee kuwafaidi rafiki zako, msaidie kuwapata.

Hii mada inaendelea.
 
Umuoe akuite shem
 
Back
Top Bottom