Mwanamke wa Kuzaa naye

wolfman Jr

New Member
May 16, 2020
3
2
Habari wana jamvi wenzangu, poleni kwa mihangaiko ya hapa na pale. Wengi wenu natumai mu wazima wa afya. Narudi tena kwa mara nyingine baada ya kutokufanikiwa mara ya kwanza

Naomba niende kwenye maada;
Nipo hapa kutafuta mwanamke ambae nitazaa nae mtoto bila ya kuwa kwenye ndoa (mahusiano ya kawaida tu).
Sipo tayari kuingia kwenye ndoa kwa mda huu labda baada ya miaka mitatu au minne hapo mbele. Umri wangu ni miaka 31, mjasiriamali.

Awe mwanamke aliekomaa kiakili
Umri kuanzia miaka 25 mpaka 35
Dini yoyote
Asiwe mweusi sanaaa
Mawasiliano ni kingkiki1193@gmail.com
Pia unaweza ukani DM
 
Dunia haishi vibweka.
Emwenyezi Mungu nijalie miaka
Nijionee ya kizazi kijacho
 
Yani inabidi kusimama kwenye maombi hali mbaya huko tunakoelekea
Mm sioni cha kushangaza hapa.. Mbona kuna wanaume wengi wanazalisha wanawake na wanawakataa watoto hamuingii kwenye hayo maombi? Wanawake wanatupa watoto mpaka chooni hamuingii kwenye maombi, wengine wanatoa mimba hamuingii kwenye maombi. Sasa kijana kajitokeza kaeleza ukweli kwamba yy anataka mtoto tu sio ndoa tayari mnataka kuingia kwenye maombi... hebu msimfokee
 
🥂🥂🥂🥂🥂🥂🥂🥂🥂
 
Nzuri hana kosa kajisemea ukweli wake.... ukimkosa nicheki nikuunganishe na mtu mmoja ila age ndio umeiminya
 
Wakija wengi nipasie na Mimi wachache.
Yaani matunzo na kila kitu anapata.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom