Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nimewahi kua katika mahusiano na binti ambaye aliachana na mumewe. Nilikuta yule jamaa alimwachia vitu vyake vingi kama TV,radio,kabati ,masofa ,radio kitanda na takataka kibao za ndani ikiwemo...
0 Reactions
4 Replies
726 Views
Wakuu niko hospitali kwenye foleni. Mara namsikia Mzee mmoja akimwambia Nesi maneno kuwa "Mtoto wa kiume akishaoa sio wako tena". Tunafeli wapi wanaume wenzangu na hawa wazee wetu??
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Zilikuwa kama story za kawaida ndipo mpenzi wangu akataka kufahamu wapi ninapokwama akutafuta suluhisho ili afahamu jinsi gani atanibeba akaamuq kumtafuta best friend wangu wazungumze na hivi...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Habar za muda huu, wana JF ujumbe huu uende kwa kijana yeyote anaitaka kesho iliyo njema. Matajiri wanaishi kama masikini na masikini kama matajiri, Tajiri ananunua simu ya sh 300,000/= na anatoa...
40 Reactions
102 Replies
12K Views
Habari zenu wakuu na poleni na mihangaiko ya maisha. Swali langu ni kwa wanawake, hivi huwa mnawachukuliaje wanaume wasiokunywa pombe kabisa? Binafsi washikaji zangu wasiokunywa bia huwa nawaona...
12 Reactions
178 Replies
19K Views
Kumekuwa na maoni mbalimbali toka kwa wadau juu ya mada hii: Je, kuoa mwanamke mwenye elimu nzuri na kazi nzuri au mwanamke asiye na elimu kubwa na mama wa nyumbani - ni lipi jambo sahihi? Maoni...
8 Reactions
1K Replies
194K Views
Utafiti unasema "Inasemekana mwanamke ambaye anamtoa mpenzi wake dinner na kumlipia kila kitu walau mara mbili kwa wiki na kumpa zawadi ndogo ndogo pamoja na pesa za matumizi anajiongezea nafasi...
4 Reactions
145 Replies
11K Views
Wakuu habari, Huko Kanda ya Ziwa umeibuka utaratibu wa wazazi kuwafukuza watoto nyumbani ambao wamefikia umri wa kujitegemea (watoto waliofeli shule na waliohitimu vyuo), wazazi hubaki nyumbani...
1 Reactions
24 Replies
4K Views
Kumekuwa na wimbi kubwa la wanaume kuumizwa na wanawake kisa wema wao walio watendea, na kuja kulalamika na kulia lia huku JF. Wanaume wenzangu naomba kuanzia leo mtambue kuwa mwanamke akitangaza...
22 Reactions
45 Replies
6K Views
Hi guys hope all is well! Natafta msichana ambaye badaye atakuja kuwa mke halali wa ndoa. Sifa zangu nna fanya kazi mwajiriwa lakini pia nimejiajiri, Elimu yangu; Masters, Umri wangu 35 na...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
NIMECOPY NA KUPASTE Kundi la kinamama waliolewa walikuana na mwanasaikojia,akawauliza ni lini mara ya miwsho kumwambia mmeo unampenda? wengi wakajibu leo asubuhi,wengine jana usiku Mwana...
4 Reactions
23 Replies
7K Views
Amani kwenu wakuu, upweke umenikalia kooni naona siwezi kustahimili tena, upweke ni mbaya saaaana haungalii umesoma, una pesa au hauna, umeumbika kama zebra au vinginevyo, upweke unaumizaaaa...
19 Reactions
160 Replies
16K Views
Ndugu nawapa salam Mimi ni kijana ambaye niliamua bila kushinikizwa na mtu kuoa ningali kijana. Huku shauku kubwa ikiwa ni kupata na kulea kizazi changu ningali kijana na mwenye nguvu. Kifupi...
18 Reactions
355 Replies
33K Views
Wanasayansi na Wabobezi wa 'Kungonoka' wamedai ya kwamba katika ufanyaji wa 'Ngono' Mwanamke huwa anasikia 'Utamu Kunoga' kwa 65% na Mwanaume kwa 35% tu. Na ili kuonyesha kuwa hawa 'Wataalam'...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Dah, iliniuma sana pale nilipopata mpenzi wa mbali tukadumisha mahusiano yenye kupendana sana dah! sielewi ilikuwaje lakini siku moja naambiwa, mpenzi nimepata mimba bahati mbaya naomba unisamehe...
5 Reactions
47 Replies
5K Views
Nadhani hali hii wengi mmeshapitia ndani ya mahusiano kuna wakati unafikia unaona mpenzi wako au mke wako ameanza tabia za kujitenga na wewe hakupi kipaumbele kama zamani kukaa na wewe kukupa...
8 Reactions
60 Replies
8K Views
Nadhani ninastahili pongezi! Tokea 2010-2020 nilipomtongoza kwa mara ya kwanza shemeji yenu sikuwahi kuchepuka. Katika kipindi cha miaka mitano ya kwanza nilikua kimasomo mbali na bongo hio...
5 Reactions
43 Replies
3K Views
Ni muda mrefu sasa nimekuwa najiuliza hili swali, haswa ninapokuwa na kijana Wangu mdogo wa kiume mwenye umri wa miaka kumi. Kuna wakati tupo sebuleni tunasikiliza Redio au TV, na habari...
4 Reactions
23 Replies
3K Views
Wanajukwaa habarini, natumaini hamjambo na mko poa. Nimeleta swala hapa naomba mnishauri au mm ndio namtazamo mbaya kabla sijachukua action yoyote Kuna binti mmoja nipo kwenye uhusiano na yeye...
75 Reactions
251 Replies
21K Views
Maisha huwa yana Siri nzito linapokuja swala la mwanaume ktk kufanikiwa ktk maisha kila mtu huzungumza la kwake ila leo nataka tuzungumzie nyota za wanawake. Je,ni kweli kuna mwanamke nyota yake...
0 Reactions
28 Replies
5K Views
Back
Top Bottom