Upweke umenichosha nahitaji mwanaume mwenye 43-55

Delight

JF-Expert Member
Nov 2, 2019
360
413
Amani kwenu wakuu, upweke umenikalia kooni naona siwezi kustahimili tena, upweke ni mbaya saaaana haungalii umesoma, una pesa au hauna, umeumbika kama zebra au vinginevyo, upweke unaumizaaaa.

Mimi ni mwanamke 40yrs nahitaji mwanaume ambaye nae ana uhitaji kama wangu ila awe mkristo. Usaili mwingine tutafanyiana PM.
Wahenga karibuni only kwa walio serious tafadhali. Asante
 
..............Ulipokuwa kwenye 20's aah utasema hutazeeka ulivyokuwa unawakaushia wana mtaani sasa upo hapa unahangaika kuwatafuta wakati wao saizi wanawaza kusomesha watoto wewe unataka muanze maisha,labda ukutane na aliyepata bahati mbaya akampoteza mkewe..

Nia siyo kukukwaza ila nataka kuwaambia wadogo zako watakaopita kwenye huu uzi wako waangalie sana hatua zao kuna umri sahihi wa kutafuta mwenza waujue mapema wasije kuishia kama hii wewe.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Duh upo haraka sana ku judge
 
Maisha nilianza nilipokuwa 20's, pole sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom