Spectophotometer
JF-Expert Member
- May 23, 2019
- 378
- 507
Wakuu niko hospitali kwenye foleni. Mara namsikia Mzee mmoja akimwambia Nesi maneno kuwa "Mtoto wa kiume akishaoa sio wako tena".
Tunafeli wapi wanaume wenzangu na hawa wazee wetu??
Tunafeli wapi wanaume wenzangu na hawa wazee wetu??