Mwanamke akitangaza vita jua kamaanisha vita

miles45

JF-Expert Member
Jan 4, 2019
3,466
8,281
Kumekuwa na wimbi kubwa la wanaume kuumizwa na wanawake kisa wema wao walio watendea, na kuja kulalamika na kulia lia huku JF.

Wanaume wenzangu naomba kuanzia leo mtambue kuwa mwanamke akitangaza vita jua kamaanisha vita sio suruhu.wanaume tunafeli sana yaani mwanamke katangaza kiama wewe unaanza kujifanya good boy sijui unajikuta ndio unajua kubembeleza na kujiita jenteomen haki ya mungu nakwambia wewe ni boya. Na utaishia kuchezewa na wanawake maisha yako yote wakati wenzio wanawatawala na kuwaendesha wewe maisha yako hayana raha, yaani hadi raha ya dunia huioni kisa mwanamke. WANAUME Tumekuwa wapuuzi na wazembe kupita maelezo.....yaani utakuta mwanaume umejikamilisha kila kitu alafu hauna furaha kisa mwanamke wewe ni mpuuzi hujitambui.

Ujentromen upo lakini sio kwa wanawake hawa tulio nao leo wasio na shukrani wamejaa upuuzi tu vichwani.

Inatakiwa mwanamke akikutangazia vita tu muoneshe rangi zote hadi zile ambazo hajawai ona yaani akimwaga mboga wewe binua meza nzima hadi maji ya kunawa no one cares. Akijifanya kuchepuka na wewe nenda katembeze rungu kwenye familia yake hadi akikuona aone amekutana na zombi sio kunza kulialia kama mtoto. Usihofie heshima sijui utavunjika hiyo heshima unamuwekea nani na kwa ajili gani...mbona wakina trump ni wapuuzi lkn leo ni rais wa dunia......acha kuendekeza majonzi ya kipuuzi kisa mwanamke asie jitambua.

Kwanini uishi kwenye gereza kwa jina la ndoa,uchumba,love sijui nini nini kama mwanamke hafiti viatu vyako fukuza leta mwingine kwa nini ukose aman kisa mwanamke mmoja asie jitambua.

Jaman tumechoka kusikia vilio vya wanaume humu tunataka mabadiriko na nyie viboy mnao chipukia na barehe zenu humu hii pia inawahusu.

Ndio maana saizi imefika hatua mwanamke hana chochote anacho wekeza kwenye mahusiano yenu za ya k yake alafu wewe umewekeza kila kitu hadi biashara zako mwisho wa siku unaendeshwa na hicho kimwanamke utafikiri punda kisa eti unakula ki k chake wewe ni fala la mwisho.

Wanaume wengine mnajidhuru miili yenu eti ili umridhishe mwanamke wewe ni kenge kama kenge wengine alie kwambia mwanamke anarizika nani...? We endelea kujirisha hayo sijui madawa ya kongo sijui nini nini huko.

Mwanaume ishi maisha yako mwanamke ndio aje aombe kuishi maisha yako akishindwa kuishi maisha yako asepe aachie atakae weza.

Am done.....povu ruksa
 
Hiyo paragraph ya pili kutoka mwisho umeandika point kuntu kabisa
 
Pole mkuu pambana na vita yako
Hahahaa fatilia nyuzi zangu nahisi utapata picha mimi ni mwanaume type gani....Kifupi mimi naishi maisha alio ishi babu yako....yaani kazi yangu ni kutafuta mashamba na kujenga na kuwapa wanawake wakae na kulima hayo mashamba mimi kazi yangu ni kuwapa mimba na kuja kuuza mazao msimu wa mavuno na pesa kulia bata na kuwaachia mbegu na chakula......am that type ofa man sasa endelea kulia lia ukizani kulialia ni sifa hahahaa
 
Hahahaa fatilia nyuzi zangu nahisi utapata picha mimi ni mwanaume type gani....Kifupi mimi naishi maisha alio ishi babu yako....yaani kazi yangu ni kutafuta mashamba na kujenga na kuwapa wanawake wakae na kulima hayo mashamba mimi kazi yangu ni kuwapa mimba na kuja kuuza mazao msimu wa mavuno na pesa kulia bata na kuwaachia mbegu na chakula......am that type ofa man sasa endelea kulia lia unazani sifa
Hahhahaha mkuu taratibu basi mbona unanirushia povuu umesikia wapi mm ninyanyasike ?
 
Utakuwa unatembelea VX ww n geti lako nyumbani linafunguka automatic na dini yako yaonyesha inakuruhusu kuacha na kuoa tena akizengua unaacha na kuoa tena , wengine pamoja na yote ni ndoa za kikristo kuoa issue kutalaka issue , trump billionea hahali nn wala nn wanawake wanajigonga wakimuona mtaanj wapi radhi kuvua nguo kubaki uchi na kupiga nae picha ,

Tunachohitaji mwanaume kurudi kwenye uhalisia watu kitu ambacho naona wanaume wengi ndivyo tulivyoamua wanawake wasiojitambua wanacholingia sasa ni kudanga tu , wanaishia kujishusha hadhi taratibu kadri siku zinavyokwenda mbele.
 
Moja ya mwanaume ninae mkubari ni huyu jamaa anajiita diamond, yaani hajari mtasema anachezea sijui wanawake sijui nini nyie ongeeni maneno yenu lkn jamaa haijalishi mwanamke mzuri kiasi gani akileta marangi rangi tu fukuza leta nyingine.

Unajikuta mwanaume na hadhi yako unaendeshwa na mdangaji mmoja hivi utafikiri punda hadi huruma.

Huo ni ulofa
 
Dini Kaka , ila ushauri mzuri
Diomond hongera zake kwa mfumo wake wa maisha , wengine sie viongozi katika koo zetu , tuna madogo kadhaa wanatutegemea tuwaongoze tuwaozeshe na tuwasimamie , wanajifunza kutoka kwetu sie wakubwa zao , na dini yetu ukoo wetu asilimia 99.9% ni wakristu , vinginevyo nikiamua kufuata kimpango wangu mbona naweza oa hata wanawake 12 tena kwa mpigo nami nikajiwekea historia yangu maana kilio cha wanawake niliokutana nao wanalilia kuolewa ni kikubwa tena wengi wadada wa maana tu lakini sivyo misingi yangu ya kiroho niliojiwekea , waweza ona mateso nj aina nyingine ya maisha wengine tumeamua kuishi , kumpendezesha Mungu pamoja heri nyingi alizonikirimia.
 
Back
Top Bottom