Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habarini za usiku wanaJf, Mchumba wangu alienda Mpanda kipindi cha Corona. Huko mambo yakabadilika ikathibitika pasiposhaka kuwa amenisaliti. Aliporudi akaenda kwa jamaa mwingine ambapo tena...
2 Reactions
57 Replies
6K Views
Nimefanya mapenzi Kwa mara ya Mwisho. Tarehe 6 Feb 2020 mpaka sasa sija kutana na mwanamke yeyote. Namshukuru Mungu Kwa maana nimetimiza malengo yangu mengi makubwa sanaaaa. Najua ninge ngonoka...
4 Reactions
70 Replies
7K Views
Wakuu habari za wakati huu. Naomba maoni yenu juu ya hili swala. Je, Kuna tatizo lolote Kuishi pamoja kijana wa kiume na wa kike, yaani nazungumzia kuishi kama wanandoa ingawa bado hamjaoana...
2 Reactions
36 Replies
4K Views
I Greet you all, Naongelea wanaume walio katika mahusiano na wenza wao.Wanaume wenye vyombo vya usafiri kama baiskeli, bodaboda, bajaji na gari. Wanaume wengi maisha yao ya mahusiano...
7 Reactions
151 Replies
15K Views
"Hawezi kukufanya chochote bana yule mimi namjua" haya ndio maneno yake anayoyarudiarudia kila mara ninapomsisitizia kuwa siwezi kufanya hivyo...Huyu Dada tuna ukaribu naye kibiashara na sina...
13 Reactions
128 Replies
14K Views
Somo la saikolojia ni pana kama zilivyo pana tabia za viumbe husika hivyo upana wa somo hili la saikolojia inatokana na upana wa kitabia tulionao. Ningependa kugusia makundi manne ya watu haswa...
12 Reactions
58 Replies
60K Views
Salaaam. Wanawake/wasichana nawamegea hii siri kutoka kwetu wanaume. Kuna wale wenzetu ambao hawajavutana ndani ila huwa wanatembeleana na kuchukuana njiani, migahawani, kazini na kwingineko...
13 Reactions
98 Replies
10K Views
Asalaam waungwana Kuna kitu kinanitatiza hapa kuhusu bikra wengi wanasema kama hujawhi kufanya mapenzi ndo bikra na siku ya kwanza kufanya hivyo lazima upate maumivu pia damu lazima itoke asa kama...
6 Reactions
82 Replies
82K Views
Wadau wanaume tumekuwa wazee wa sound na kuna ishu nasikilizia mara nitakupa mara kuwa mvumilivu alafu ukipata gafla unabadilika kama mvua ya masika kama unajua huwezi kutimizi piga moyo konde...
0 Reactions
6 Replies
876 Views
UNAWEZA UKAISHI VIZURI NA WATU LAKINI WATU WASIISHI VIZURI NA WEWE. Kama una mchumba wako au mupenzi wako mlikutana kipindi makapuku yaani mlikutana kipindi cha msoto ,kipindi ambacho wote...
3 Reactions
10 Replies
5K Views
Sometimes you need a sure way to attract a woman, and most men have believed in it being their charm, their wallets or even being persistent. Truth is, it's actually very simple than that, you can...
1 Reactions
35 Replies
2K Views
Imethibitika Kahawa huwaongezea wanawake ashki ya kujamiiana..! Watafiti hivi sasa wanasema huenda wanaume wanaowategemea wanawake wanywe pombe kwanza ili iwe rahisi kwao kuwakubali, hawana haja...
4 Reactions
26 Replies
4K Views
In the recent times lots of broken homes and domestic violence in marriages has been attributed to some ladies having intimate relationship with people's husband thereby distracting him from...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Ni Jumamosi nyingine wadai nimekutana na hili balaa wanawake viumbe wa ajabu sana Nimekutana na hili balaa wandugu nikaona bora nishare na nyiny ipo hv kuna wanawake kadhaa tumepata kufahamiana...
8 Reactions
95 Replies
10K Views
Habari zenu wanajukwaa, Moja kwa moja niende kwenye mada husika, Nimekaa nikilifikiria sana jambo hili na nimekosa majibu sahihi ya hili swala na kuamua niwashilikishe na ninyi huenda mnajua...
3 Reactions
89 Replies
12K Views
Salamu kwenu wote Eid Mubarak Leo sikukuu tena, hakuna kulala usiku/asubuhi hii nipo natoka Msondo Ngoma. Inasumuliwa na Irene Mbowe. (Inaanzia sehemu ya kwanza na kuendelea, fatilia uhondo moto...
8 Reactions
2K Replies
511K Views
Wakuu, Bado sijapona rohoni vizuri kwa kuondokewa na mke wangu miaka minne iliyopita kwa ajali mbaya ya Gari. Kwa kweli kama si wife sina hakika kama ningekua nimefika hapa nilipo, hadi...
9 Reactions
178 Replies
27K Views
Habari zenu wadau wa JF, Bila shaka mnaendelea vyema na majukumu ya kila siku kwenye kutafuta riziki. Moja kwa moja niende kwenye hoja husika. Binafsi nilipata changamoto ya ugonjwa wa wasiwasi/...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari Mkuu! Natumaini u mzima wa afya, pole pia kwako wewe unayesumbuliwa maradhi. Naamini Mwenyezi Mungu atakuponya. Najua mara zote katika mahusiano ya kimapenzi kuna changamoto nyingi ambazo...
9 Reactions
70 Replies
8K Views
Hii nimeishuhudia mara kwa mara maeneo mbalimbali ila Jioni hii ndiyo 'nimeithibitisha' kabisa. Kuna Mke wa Watu 'Kafumania' Meseji ya 'Hawara' ya Mumewe katika Simu yake na kwa jinsi Mwanamke (...
2 Reactions
35 Replies
3K Views
Back
Top Bottom