king majah
Member
- Jan 10, 2013
- 61
- 50
NIMECOPY NA KUPASTE
Kundi la kinamama waliolewa walikuana na mwanasaikojia,akawauliza ni lini mara ya miwsho kumwambia mmeo unampenda?
wengi wakajibu leo asubuhi,wengine jana usiku
Mwana saikolojia akasema,aya andika ujumbe huu'NAKUPENDA MUME WANGU' kisha mtumie mume wako sasa hivi..
baada ya kutuma akawaambia haya badilishaneni simu na kila mtu asome ujumbe utakaorejeshwa
marejesho yalikuwa hivi
1.Vipi unaumwa?
2.Sikuelewi nini unamaanisha?
3.Eh umefanya kosa gani leo tena?sasa sintokusamehe
4.Hebu acha kuzungu niambia unashida gani?
5.Hivi leo naota au?
6.Leo nikirudi lazima uniambie hii meseji ulikuwa unamtumia nani?
7.Umeanza tena kunywa pombe?
8.Samahani mke wangu leo sina pesa
9.Nani mwenzangu?
JE UNADHANI WAMAMA HAWA NI KWELI MARA YA MWISHO KUWAAMBIA WAME ZAO NENO NAKUPENDA NI LEO ASUBUHI AU JANA???