Miaka 10 bila kuchepuka

Miaka 10 bila kuchepuka

Varbo

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2012
Posts
1,124
Reaction score
895
Nadhani ninastahili pongezi! Tokea 2010-2020 nilipomtongoza kwa mara ya kwanza shemeji yenu sikuwahi kuchepuka. Katika kipindi cha miaka mitano ya kwanza nilikua kimasomo mbali na bongo hio kufanya niwepo nchini mwezi mmoja kwa mwaka na bado sikuchepuka! Hadi kufikia kuishi wote tokea ndoa 2013 bado sijachepuka. Asante mungu Mimi ni mwanaume mwaminifu najisifia mwenyewe. Wana JF Naombeni pongezi zangu.
 
Unakula Chakula Kitamu Kama Alichokula Niguse Ninuke Na Mkewe Pale Hotel. Maarufu Mzee Wa Wino Mwekundu
 
Hongera mkuu waache Hawa wenye tamaa tuendeleee kuwapa ARV maana store imejaa sana
 
Hongera mkuu species za aina yako zilionekana mara ya mwisho kabla y a vita ya Kagera...
 
Miaka 10 Bila kuchepuka? Ongera zangu nakupa Kama tu wewe ni mzima wa afya mkuu.
 
Hongera sana, sasa unaruhusiwa kujipongeza kwa kujitwalia 'kamchepuko' kabichi na 'andagraundi' kwa walau usiku mmoja tu.

Mimi najipongeza na 'double kick' moto kwa kufanikiwa kutokugusa pombe kwa miaka miwili.
 
Hongera mkuu kwa uaminifu, toka kipindi cha Kikwete hadi kwenye kishindo cha awamu ya Mh.Magufuli.

Unafaa tuzo ya Nobel mkuu.
 
Miaka 10 Bila kuchepuka? Ongera zangu nakupa Kama tu wewe ni mzima wa afya mkuu.

Mkuu Mie nikisimamia match dkk 45 hadi masaa mawili ningekua sipo sawa mwanamke angekua kaishasepa kitambo!
 
Hongera sana sana sana inawezekana ukiwa na nia..Story za vijiweni ndo zinachangia wakaka wengi kutaka kujaribu kuchepuka ili na wao waonekane wamo. Faida ya kutochepuka ni kuishi kwa amani na kuepuka laana mikosi na magonjwa.

Kuna documentary moja ya Maisha ya Bill Gates anasema ili ufanikiwe unahitaji kutulia na mke mmoja! Sifikilii kuchepuka at all!.
 
Kuna documentary moja ya Maisha ya Bill Gates anasema ili ufanikiwe unahitaji kutulia na mke mmoja! Sifikilii kuchepuka at all!.
Hata biblia inasema mwanaume atateketea kwa kupend makahaba sijui?. any way adui namba moja kwnye maendeleo ya mwanaume ni wanawake. Ndo maana tunazidiwa na wenzetu wazungu wakiwa na mahusiano wana stick kwa mwanamke mmoja at least at a time ila huku mtu akiwa na ka hela tuu ka kubadili mboga wanawake kila mtaa.
 
Nadhani ninastahili pongezi! Tokea 2010-2020 nilipomtongoza kwa mara ya kwanza shemeji yenu sikuwahi kuchepuka. Katika kipindi cha miaka mitano ya kwanza nilikua kimasomo mbali na bongo hio kufanya niwepo nchini mwezi mmoja kwa mwaka na bado sikuchepuka! Hadi kufikia kuishi wote tokea ndoa 2013 bado sijachepuka. Asante mungu Mimi ni mwanaume mwaminifu najisifia mwenyewe. Wana JF Naombeni pongezi zangu.
Mkuu hata mm nakupa pongezi. Ila mbona kama umesha haribu sas.....!😂😂😂

Kama naona sas hawa wanaopenda waume za watu washaanza kukutamani maana nia yao kuaribu ndoa za wenyewe. Mm ckupi hongera saaaan kiivyo mkuu ila dua zangu ni mungu akulinde na kukuepusha na majaribu ya hawa michepuko maan ukizama ndo bac utoki tna
 
Pamoja na majivuno yako yote ya kutokuchepuka usikute mkeo wanamtafuna haswa nasema haswa kuonyesha msisitizo maana what you are doing doesn't guarentee the action of the counter part but keep up the faith sir
 
Hongera sana sana sana inawezekana ukiwa na nia..Story za vijiweni ndo zinachangia wakaka wengi kutaka kujaribu kuchepuka ili na wao waonekane wamo. Faida ya kutochepuka ni kuishi kwa amani na kuepuka laana mikosi na magonjwa.
Tatizo mko wengi, mnataka wengine wadinywe na wanyama?sisi kama wanaume tunajitahidi kuwaokoa wasisagane,tupewe pongezi zetu tafadhali
 
Hongera Sana mkuu..Hakika huendeshwi na kichwa Cha Chini..na hivi ndivyo mwanaume anatakiwa kuwa..[emoji122][emoji122][emoji122]
 
Pamoja na majivuno yako yote ya kutokuchepuka usikute mkeo wanamtafuna haswa nasema haswa kuonyesha msisitizo maana what you are doing doesn't guarentee the action of the counter part but keep up the faith sir

Siwezi kua na uhakika sana ila labda ile miaka ya mwanzoni lkn kwa sasa sijaona hio dalili! Na mie usifikilie kua mwaminifu labda wanawake ni tatizo kwangu. Nina kila kitu ambacho mwanamke haruki! Athletic body nyumba magari na pesa sio shida! Najua kuitafuta na ninaipata.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom