Nahisi mama mkwe anatikisa kiberiti

Nahisi mama mkwe anatikisa kiberiti

Godface

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2020
Posts
211
Reaction score
568
Wanajukwaa habarini, natumaini hamjambo na mko poa.

Nimeleta swala hapa naomba mnishauri au mm ndio namtazamo mbaya kabla sijachukua action yoyote Kuna binti mmoja nipo kwenye uhusiano na yeye kwa muda kama wa miaka 3. Mwaka jana niliamua niende juzi nilienda kwao kujitambulisha na nikatoa kishika uchumba

Baada ya kurudi maisha yaliendelea kila mmoja akiwa anaishi kwake.

Kwa kuwa tulikuwa tunaishi mbalimbali nikaona nimuwezeshe mwenzangu nikamfungulia biashara ya jumla kama milion 4 .2. Lengo lilikuwa tuwe tunasaidiana katika maisha na yeye nimpe kazi apate kazi rasmi. Baada ya mwezi mmoja nilianza kuona kama utofauti nilienda na kaxi pale ofcn kwa mchumba wangu nikamwambia nifanyie kuprint page zilikuwa kama kumi jibu nililopewa nikaambiwa no money no service

Niliingiwa na hasira nikamjibu pale pale hivi vitu vyoye nani alinunua?

Nikaamua kuondoka nikarudi ofcn nikafungua nikaprint ile kazi ofcn japo ilikuwa jion sana. Baada kama ya wiki akaniambia naomba nihamie kwako !! Ili tuanze kuishi pamoja umeshajitambulisha tayari kwetu. Nikamjibu nipe muda nitakujibu, kila tulipokuwa tunakutana alisisitiza jambo lile lile

Nikamwambia ongea na ndugu zako sio waje wasikie upo kwangu halafu waanze kunisumbua ,akanijibu tayari nimeongea. Siku moja nilisafiri kikazi niliporudi tayari nilimkuta kahamishia vitu vyake vyote vipo kwangu. ..nikapigwa nabutwaa tu kwa kuwa ufunguo wa nyumba huwa tumegawana

Tatizo lilipoanzia
Majuzi mama yake kampigia cm walikuwa wanaongea kwa kiruga ila kwa kuwa kilikuwa ni kibantu kuna maneno niambulia kuyasikia baadae akamwambia mpe simu mumeo, akanipa. Tuliongea vizuri salamu na baadae akaanza sasa wewe umekuja kujitambulisha ,halafu umeenda jumla ...haujarudi tukupangie mahali

Nikamwambia mama swala la mahali bado najipanga nitakapokuwa tayari nitakuja ..akajibu yaani wewe mpaka sasa hivi haujajipanga tu. Ikabidi nimtolee uvivu nikamwambia wewe unajua uchumi wangu ? Unajua mipango yangu nikamwambia kwani mahali ni lazima au ni zawadi akanijibu mm naitaka mahali si unajua uko na binti yangu huyo ni binadamu, Mara nataka nile mahali kabla sijafa

Nikamjibu nimekuelewa ila sifikirii leo au kesho kuleta mahali kama kuna mwanaume mwingine anataka kuleta mahali pokeeni binti yenu aolewe. Baada ya kukata cm mchumba wangu aakaanza yaani unamjibu mama yangu hivyo kweli nikamwambia ulitaka nimjibu vipi?

Nilikulazimisha uhamie kwangu ? Mbn ndugu zako sio wastarabu hivi hawaoni juhudi nilizozifanya kwako kukukwamua na kukufungulia ofisi kwa sasa sina hela

Nikamwambia na wewe kama unaona mm sina dira ya maisha yako chapa mwendo ..hiyo ofisi chukua vitu vyot
 
Kwanza Ulikosea kumjibu Mama mkwe wako ivo.

Inawezekana kabisa kabisa, ulimfungulia Mradi huo sababu ya mahaba anayokupa nawewe kutamani kumuweka karibu yako zaidi...

SASA ilo haliondoi ukweli yakua unatakiwa Kumtolea Mahari.

Inamaana kwakua umemfungulia mradi , basi usitoe mahari ????

KAMA SHIDA NI PESA, basi Kaa ongea nao kwa heshima tu .

Acha Jeuri zako !!.... na inavyoonekana wewe, Siku akiamua kurudi kwao mpaka utoe mahari, utamnyang'anya na kiofisi ulichompa.

Na hiii unamaanisha, Humchukulii kama Mwanamke wa maisha yako..Bali kama MTU ulomsaidia kutoka ktk maisha magumu .

Akikufia ndani ??? Utawaeleza nn ??

ACHA MARA MOJA UJINGA!!....
 
Mi
doh Sema mama kazingua hapo, hivi vitu havitaki haraka, maza atulie kipira
Halafu unafeli mzee baba, unafunguaje businesses kwa mchumba, au haujawahi kusikia mchumba hapewi mtaji.
Maji utaita mma mda soo mrefu

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilifanya kwa lengo la kumsaidia yeye ili awe na vision na maisha yake lkn naona mama yake kaanza kuzungua
 
Kwanza Ulikosea kumjibu Mama mkwe wako ivo.

Inawezekana kabisa kabisa, ulimfungulia Mradi huo sababu ya mahaba anayokupa nawewe kutamani kumuweka karibu yako zaidi...

SASA ilo haliondoi ukweli yakua unatakiwa Kumtolea Mahari.

Inamaana kwakua umemfungulia mradi , basi usitoe mahari ????

KAMA SHIDA NI PESA, basi Kaa ongea nao kwa heshima tu .

Acha Jeuri zako !!.... na inavyoonekana wewe, Siku akiamua kurudi kwao mpaka utoe mahari, utamnyang'anya na kiofisi ulichompa.

Na hiii unamaanisha, Humchukulii kama Mwanamke wa maisha yako..Bali kama MTU ulomsaidia kutoka ktk maisha magumu .

Akikufia ndani ??? Utawaeleza nn ??

ACHA MARA MOJA UJINGA!!....
Kila kitu kwenye ofisi nimeandika jina lake na anamaamuzi na ofisi kwa nn nimnyanganye tatizo mm nalolalamikia ni kuanza kudai mahali utafikiria deni

Na nilimwambia kabla ya kuhamia kuwa hela yote ya akiba nimeinvest kwake hivyo sina hela kwa sasa na alikubali kwa nn anibadilikie? Kibao

Halafu kwa nini nimnyenyekee wakati yeye sio muungwana kabisa
 
Swala la kufikia ndani sio tatizo ndugu zake wote wananifahamu na kaka yake huwa anakuja kwangu mara kwa mara

Mm sina mpango wa kutoa !! Leo wala kesho
Bado natest mitambo mzee baba
Hahaha,,,,daaah jamaa we inaonesha una panic disorder........
Ila mama kakosea tena sana........hilo swala ilibidi amwambie binti yake afu yeye ndo awe anakujimiza wew tena kimahaba juu ya kutoa mahali.........all in all, toa mahali mzee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umewahi ongea na Mama yako mzazi kwa kumfokea hata kama yeye ndio kakukosea???
Kila kitu kwenye ofisi nimeandika jina lake na anamaamuzi na ofisi kwa nn nimnyanganye tatizo mm nalolalamikia ni kuanza kudai mahali utafikiria deni

Na nilimwambia kabla ya kuhamia kuwa hela yote ya akiba nimeinvest kwake hivyo sina hela kwa sasa na alikubali kwa nn anibadilikie? Kibao

Halafu kwa nini nimnyenyekee wakati yeye sio muungwana kabisa
Leo umeongea naye ivo, nikwamba hauna mpango kabisa wakumtolea mahari huyo binti???

Nakama upo, utajisikiaje siku sasa ukienda kutoa mahari ???.

Huenda Mama mkwe wako anadhan uchumi upo... mueleweshe tu, mama pesa niliona kwanza nimuwezeshe mwenzangu n.k kisha nijipange nitoe mahari.

So upo tayari kumpoteza mwanamke na uwekezaji uloufanya kwaajili yenu wawili... Sababu tu ya kauli zako????

Kumbuka kua, sio kila siku mwanamke mpumbavu ndio huboa nyumba yake...Siku hizi wanaume ndo wanaongoza kubomoa nyumba.

Baadhi ya mambo usipende tumia 'Ukanda wa ziwa', wacha Busara na Hekima vifanye kazi...... Na muhesabu mwenzako kama Sehem yako.
 
Unahisi ndugu zake nakama zake, watajisikiaje ,Ku kufikiria je ikiwa watapata majibu ya kauli zako tena Kwa Mama yao??
Swala la kufikia ndani sio tatizo ndugu zake wote wananifahamu na kaka yake huwa anakuja kwangu mara kwa mara
Ngoja nikuambie ukweli...Sisi wanaume huwa tunakua na utata Wa kijinga tu, MAISHA BILA MWANAMKE UNAYEMPENDA , YANABOA.
 
Kwa
Umewahi ongea na Mama yako mzazi kwa kumfokea hata kama yeye ndio kakukosea???Leo umeongea naye ivo, nikwamba hauna mpango kabisa wakumtolea mahari huyo binti???

Nakama upo, utajisikiaje siku sasa ukienda kutoa mahari ???.

Huenda Mama mkwe wako anadhan uchumi upo... mueleweshe tu, mama pesa niliona kwanza nimuwezeshe mwenzangu n.k kisha nijipange nitoe mahari.

So upo tayari kumpoteza mwanamke na uwekezaji uloufanya kwaajili yenu wawili... Sababu tu ya kauli zako????

Kumbuka kua, sio kila siku mwanamke mpumbavu ndio huboa nyumba yake...Siku hizi wanaume ndo wanaongoza kubomoa nyumba.

Baadhi ya mambo usipende tumia 'Ukanda wa ziwa', wacha Busara na Hekima vifanye kazi...... Na muhesabu mwenzako kama Sehem yako.
Tamaduni zetu sisis wasukuma...ni mwiko mama mkwe kuongea na mkwilima...yaani njia aliyoitumia nilihic kama kanidharau vile ...na mm nikaona nimuoneshe kiburi
 
Wote wewe msichana na mkweo mna makosa....

Mama mkwe hakutakiwa kuongoea na wewe kuhusu lini unaenda kutoa mahari na kukulazmsha kabisa kwamba uende hlo jambo lilitakiwa libakie kwako na huyo dada.

Ila mkuu na wewe inaonekana una ego, just imagine hayo majibu angekua anapewa mzazi wako naamin huyu dada sasa hivi mngekua tayar mmeshaachana...
Hata kama huyu mama alikulazmsha sana kuzungumzia ndoa ila kama mwanaume ulitakiwa ku hold hasira zako kwa maana yule ni mzaz wa msichana wako so kuna heshima lazma iwepo.

Wa mwisho ni huyu msichana inaonekana yuko sana desparate na ndoa kuliko kitu kingne inawezekana kwasababu zake binafsi au presha ya family members, kitendo cha kulazmisha kuhamia kwako tena kipind umesafir haikua busara kabisa alitakiwa kuendelea kubakia kwao mpka muda rasm ila may b pia aliogopa kupoteza future yake.

NB: Sasa mkuu hata kama biashara ni yako ulitaka uende ukafanye printing bure, alikua sahihi kukwambia no money no service ili ujue kutofautisha biashara na mambo binafsi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umewahi ongea na Mama yako mzazi kwa kumfokea hata kama yeye ndio kakukosea???Leo umeongea naye ivo, nikwamba hauna mpango kabisa wakumtolea mahari huyo binti???

Nakama upo, utajisikiaje siku sasa ukienda kutoa mahari ???.

Huenda Mama mkwe wako anadhan uchumi upo... mueleweshe tu, mama pesa niliona kwanza nimuwezeshe mwenzangu n.k kisha nijipange nitoe mahari.

So upo tayari kumpoteza mwanamke na uwekezaji uloufanya kwaajili yenu wawili... Sababu tu ya kauli zako????

Kumbuka kua, sio kila siku mwanamke mpumbavu ndio huboa nyumba yake...Siku hizi wanaume ndo wanaongoza kubomoa nyumba.

Baadhi ya mambo usipende tumia 'Ukanda wa ziwa', wacha Busara na Hekima vifanye kazi...... Na muhesabu mwenzako kama Sehem yako.
Swala la kupoteza kwangu sio kitu ! Nachoaangalia ni moyo wangu kuwa na amani na heshima nipewe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom