Dada yangu kuwa makini na wanaume kama unataka mwanaume mwema usimpe penzi kabla ya ndoa kwa sababu ni hatari sana kwa mustakabali wako.
Kumbuka mabaharia wana misemo yao ile ya kuwa kama napata...
Gmoning guys!
Haya maisha bwana unaweza ukawa single ila pembeni una mpenzi wako mzuri tu na mnaishi vizuri na maisha yanaenda.
Lakini pia unaweza kuwa kuwa kwenye mahusiano na mpenzi wako ila...
Vicoba vina raha yake, vicoba, upatu, vibubu etc ila majanga yapo sana lakini hatukomi wamama.
Mwezi wa saba kuna member mwenzetu alihitaji ada ya mtoto, mume alitumbuliwa na ada ya watoto...
Ningekuwa mwanaume ningeoa wanawake wengi.
Ningezaa na wengi na pia ningeshindikana kabisa kwa tabia mbovu ya umalaya nakula naacha nachuna sana napia sipendi kuhonga .
Ningekuwa napeleka wadada...
Japo hajanitamkia kuwa sikutaki ila dalili zinaonesha mpenzi wangu hanitaki tena kwani dalili zote hanitaki tena nimeshaziona na nimeamua kujiweka pembeni na kujianda kisaikolojia muda wowote...
Hello.
This thread goes to all the ladies still in the dating game and who are still searching, these tips will help during the first date.
- Don't wear too much makeup; avoid excessive lipstick...
Habali zenu
Naomben ushauri jamani niko njia panda. Nifanye nini katika hili. Nipo katika mahusiano ni Taktiban miez 2 ila shida iko sehemu moja huyu bidada nilienaye ana wivu yes wivu haswaa...
Habari wanajukwaa!
Moja kwa moja kwenye Mada. Binafsi ni family ya Mke na watoto 4, Pia tupo kwenye mahusiano kwa muda mrefu kidogo takribani miaka 12. Nasikitika hatujafunga ndoa, lakini...
Hello guys,
Ukiingia insta sahiv karibia kila mdada anaonesha kalio lake, sasa picha kama hizo zinatupa sisi wanaume mawazo yenye ukakasi.
Sasa nyie wadada mnaopenda kuonesha makalio yenu kwenye...
Kama kuna maisha ambayo yamejaa aina nyingi ya maswali basi naweza kusema kuwa maisha ya mahusiano ya kimapenzi ndio huwa na maswali lukuki.
Maswali haya mara nyingi hutokea sana pindi mapenzi...
Ni miezi kadhaa sasa tangu mwanamke niliyekuwa ninaishi nae kwa miaka saba na kubahatika kupata watoto 3 kufikia maamuzi ya kusema kila mmoja ashike hamsini zake kutokana na migogoro mbali mbali...
Habari wana jf,katika kukumbuka yaliyopita kabla ya kuufunga huu mwaka,ndipo nikakumbuka hiki kisa cha miaka 8 iliyopita.
Ilikuwa college fulani hivi,chumba kimoja tuliishi wanachuo wanne,mie...
Natafuta mdada mrembo hata Kama Ni single mother tutalea maana nam Nina watoto tayari. Awe Ana uwezo wa kujielewa na kulinda mahusiano, level ya Elimu Diploma / Degree au zaidi sawa tu.
Pm iko wazi
nilipo kuwa mtoto nilikuwa nikimuona mzee ajafanikiwa nilikuwa najiuliza ivi uyu alikuwa atafuti pesa mbona masikini ivi.
Ila sasa natambua kumbe wengine wamefungwa vifungo vibaya Sana na ndungu...
Wanaume tumeumbwa na ujasiri sana, na siyo rahisi kuonyesha udhaifu wake hata pale anapoona ameumizwa sana na mahusiano
Wengi wao huwa tunazuga kama hali hiyo haituumizi kumbe moyoni mwetu...
Kwema Wana JF aisee Nina mwanamke pasua kichwa yaani Kila siku ni matusi ananitukana saana na pia anamtukana mama yangu
Wadau nimechoka nimemuacha Rasmi alivoniita Mimi maiti.
Na nimegoma...
Hi guys,
Sijawasalimu siku nyingi wacha tu Leo niwasalimu,
Naomba tu nisichokwe, kuna vijitabia kwenye jamii wengine hatuwezi vifumbia macho, wahusika nawasema vizuri tu na wengine humu wenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.