Kwanini masikini ndo wanaopendelea ngono zaidi?

Kwanini masikini ndo wanaopendelea ngono zaidi?

Gluk

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2017
Posts
1,859
Reaction score
3,024
Habari zenu wanajukwaa,

Moja kwa moja niende kwenye mada husika,

Nimekaa nikilifikiria sana jambo hili na nimekosa majibu sahihi ya hili swala na kuamua niwashilikishe na ninyi huenda mnajua zaidi yangu.

Katika utafiti wangu mdogo nilibaini mambo yafuatayo;
(1)Masikini wa kipato ndo wenye familia kubwa ukilinganisha na wenye uwezo.
(2)Asilimia kubwa ya wasiokuwa na kipato au kazi ndo huwaza ngono 24 hrs. Unakuta mtu hana A wala B ila kutwa yuko nyuma ya sketi.

Je nini husababisha hali hii?
 
matajiri mda wote wako busy kutafuta pesa

sie maskin wengne wameajiriwa kwenye hio kaz (viserengeti boys)hapo yy kila siku anatafuta maujuz amlizishe boss wake (jimama)
security maskin huna pesa inabd kama mwanaume upige mashne haswa angalau ndo kitu atakachokupendea

ww huna shughuri ya msing ya kufanya unahisi ubongo utawaza nn zaidi ya kungonoka??

ila wenzetu tyr ana pesa anajifeel secured anaeza kumhandle manz yyte mf angalia meng kakamata mtt mkali kisa pesa tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maskini hana la maana aliwazalo zaidi ya

-Tumbo lake.
-Ngono.
-Lawama.

Tajiri 24hrs anawaza jinsi gani ya kuimarisha pato lake, kila kukicha anawaza new idea ya kutunisha a/c yake

Maskini yeye anawaza new idea ya style ya kumpiga demu wake 6*6
 
Aliyekudanganya nani, hao matajiri wake zao kutwa wanafukuliwa na vimarioo mjini, hao matajiri wenyewe kutwa kula bata na wasichana wadogo. Zinaa haina tajiri wala masikini ni kaudhaifu kwa makundi yote mawili hayo. Sema matajiri mambo yao yanakuwa kwa siri zaid kuliko maskini mambo hadharan hata kwenye jumba bovu mnasimamisha shoo.
 
Pengine hata mkeo analiwa papuchi na masikini endelea kutafakali then tupe majibu mubashara

2logM@km
 
Habari zenu wanajukwaa,

Moja kwa moja niende kwenye mada husika,

Nimekaa nikilifikiria sana jambo hili na nimekosa majibu sahihi ya hili swala na kuamua niwashilikishe na ninyi huenda mnajua zaidi yangu.

Katika utafiti wangu mdogo nilibaini mambo yafuatayo;
(1)Masikini wa kipato ndo wenye familia kubwa ukilinganisha na wenye uwezo.
(2)Asilimia kubwa ya wasiokuwa na kipato au kazi ndo huwaza ngono 24 hrs. Unakuta mtu hana A wala B ila kutwa yuko nyuma ya sketi.

Je nini husababisha hali hii?
Sijui kama kwenye utafiti wako ulihusisha taasisi za utafiti.
Tuanze na suala la kuwa na familia kubwa:
Unafahamu ni shilingi ngapi kushughulika
na mambo ya uzazi wa mpango ambao ni salama?
Nikutaarifu kuwa kipato hapa kinahusika.
(kama hutamlipa daktari basi utalipa nauli
kwenda kituo cha afya kupata ushauri wa bure).

Hilo la pili ni sehemu ya Dharau kwa masikini, sababu maskini
hana mtetezi hivyo kila takataka anatupiwa yeye,
Ukweli ni kwamba matajiri wanaongoza kwa ufusika
hawaonwi mara kwa mara maana wanatumia
mahotel ya nyota tano na hufanya hivyo kwa siri
Hapa watu wenye angalau visenti na kijigari
watanielewa,unapokuwa huna kitu akili
ya kupata mchepuko haipandi.Subiri upate vihela
kidogo ndo unaitambua tabia yako halisi.
 
Aliyekudanganya nani, hao matajiri wake zao kutwa wanafukuliwa na vimarioo mjini, hao matajiri wenyewe kutwa kula bata na wasichana wadogo. Zinaa haina tajiri wala masikini ni kaudhaifu kwa makundi yote mawili hayo. Sema matajiri mambo yao yanakuwa kwa siri zaid kuliko maskini mambo hadharan hata kwenye jumba bovu mnasimamisha shoo.
Hahaaha hata kwenye jumba bovu show inasimamishwa
 
Back
Top Bottom