Tafiti na shuhuda nyingi zinathibitisha usalama finyu wa kijinsia unaowakabili watoto.
Leo tutizame maeneo HATARI ZAIDI KWA WATOTO
Haya ni MAENEO YANAYOFIKIRIWA KUWA NI SALAMA KABISA!
-MAJUMBANI...
Ingawa akina baba walio wengi sasa wanajua umuhimu wa kuwasindikiza wazazi wenza (akina-mama) kliniki wakati wa ujauzito na hata baada ya kujifungua, bado wapo wengi wenye dhana kuwa kupima afya...
Wakuu,
Mimi ni msanii, muziki haulipi. Naishi kwa pesa ninayopata kutoka kwenye kodi - nyumba ya urithi
Sasa kuna jamaa yetu hapa kitaani anafunga harusi tarehe 2 mwezi wa tatu. Nikasema sio...
Wakuuu habari poleni na pirika pirika ,
Nahitaji msaada kutoka kwenu wa kimawazo maana sasa naelekea kuvunja uduñgu na mdogo wangu kwa tabia zake ambazo hazibadiliki na wala hashituki kabisa...
Wasalaamu MMU! Matumaini yangu mko Poa.
Imekuwa ni tatizo kukutana na mwanamke wife material. Wanawake wengi wameonyesha tabia njema katika kipindi cha uchumba, lakini pindi tu walipoolewa na...
Habari zenu JF!
Mapenzi yamechukua nafasi kubwa kwenye maisha yetu. Japo mapenzi yanaweza kuwa ya dhati au sio ya dhati.
Je, unafikiri ukiacha pesa wanaume wana cha ziada cha kuiteka akili ya...
Yaan kazi yangu imenifanya nipate pisi kali kibao. Sijawahi kutongoza dem ile kisiriazi. Sijawahi kukosa/kunyimwa namba ya simu na demu. Musiniulize kwanini
Sasa hali hiyo imenifanya nimesahau...
Enyi wanaume, haijalishi unapenda kiasi gani na huyo mwanamke, awe demu wako, au girlfriend wako, au mchumba wako na hata akiwa mkeo, kamwe usije kumwambia Siri za baba yako na mama yako, hasa...
Unaskia wadada wana compliment kwa mwenzao hivi jamani nyie wakaka romantic and loving namna hii wanapatikanaga wapi?
You women have choices to make in life mjue.
Unahitaji jamaa awe ana cling...
Nilichogundua wanaume wengi tunadanganyika saana kuliko uhalisia. Kuna watu hatuthamini wake zetu,tunathamini michepuko zaidi.
Kuna watu tunawatendea Kwa ukatili wake zetu saana na kuwalea...
Nilijuana na Lilian (Jina si halisi) mwaka 2017 kupitia shirika moja la mazingira wakati najitolea, yas, ni mtu mzima kidogo ukifananisha na sisi tulio mwanzoni mwa 20s.
Mazoea nae yalikuwa ya...
Habari ya muda huu wakuu.ni tumaini langu nyote ni wazima.
Naomba niende kwenye mada husika. Iko hivi wakuu,nilishawahi kuwa kwenye mahusiano ya siriaz miaka miaka kadhaa iliyopita na mnamo mwaka...
Eti kuna mjomba wangu amemuoa shangazi wake bwana wangu. Je Mimi siwezi tena kuelewa na bwana wangu kwa sababu ndio itakuwa Kuna undugu.? Au tukiamua tunaoana tu?
Mwenzenu karibia naumbuka yaani nikiona mwanamke mwenye makalio makubwa nachanganyikiwa kabisa nakupoteza network.
Yaani inafikia mahali hata kama niko kwenye daladala naenda mahali akipanda...
Salaam wakuu,
Kichwa cha habari nimekiweka kuchochea majadiliano ya mazingira ya "usasa". Awali ya yote niweke wazi mimi nimeoa na Mungu mpaji kanibariki mtoto mmoja wa kiume (asante Mungu) japo...
Nakumbuka miaka ya 1990 nikiwa ndio naingia Dar baada ya kupata kazi shirika moja kubwa hapa mjini. Nilikuwa nimepanga vyumba vitatu pale Magomeni Kagera. Katika nyumba hiyo kuna vyumba sita...
Inasikitisha kweli kweli yaani Mwanaume analala Saa 7 Usiku na Kuamka Saa 9 Usiku ili aanze Kujiandaa na kuitafuta Vingunguti Machinjioni halafu bado kila akipata tu Mshahara wake anaupeleka wote...
Mapenzi ni hasara tupu...
Za mida...
Nimekua niko namawazo sana hii siku sijui labda ni kwa sababu sijaona sms ya nimpendae ikiji display.....
But namaswali machache...
Ivi kwa nini wanaume...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.