Sijajua tatizo ni simu yangu ama ni app yenyewe.
Kuna ambaye ameshakutana na tatizo hili? Yaani uki log in ina load kwa muda mrefu sana mwisho wa siku inagoma.
Msaada tafadhali.
Wadau ni wazi kuwa katika maisha yetu ya kisasa, kina dada wengi huwa wanawachukia wakwe zao wa kike na wifi zao, hasa pale Mama wa Mume anapoona kachoka na hivyo angehitaji kuishi kwa mwanawe wa...
Yaani nilienda mtembelea mwanangu mmoja siku za karibun hapa...ameoa
Daaah..yaan mkewe jamaa ni pisi kali halaf
Mkarimu sijawai kuona mwanamke mkarimu kama huyo dada... wana watoto wawili
Yaani...
Naishi na mzazi mwenzangu nahisi hana nyota ya mafanikio nifanyeje kila ninachofanya sifanikiwi kabla ya kuwa nae mambo yalikuwa hayakwami.
Naombeni ushauri kwa nyogeza tu alinichanganya baada ya...
Kuna hii hali inanikutaga, yaani utakuta ndugu zangu wa kike upande wa baba na upande wa mama wanajirahisisha sana kwangu ili nifanye nao ngono. Dah! Hawa wadada wakishajua wewe mwanaume ni ndugu...
Nimekabwa na curiousity siwezi kuicontrol. Nimejizuia nadhani huu mwezi wa 3 lakini nahitaji tu kujua mbivu na mbichi.
Najua madhara ya kuchungulia simu isiyo yako, infact before leo nilikuwa...
Habari wadau..
Mimi ni kijana early 30, najihisi nina tatizo la kuboreka.. nikifanya kitu kimoja muda mrefu, nikikaa sehemu moja muda mrefu, au nikikaa na watu fulani muda mrefu nahisi naboreka...
Kuna watu ukisikia wameua unaweza kudhani wana roho mbaya sana kumbe ni situation imetokea tu. Leo nilikuwa nachat na jamaa yangu, katika mazungumzo nikamuuliza hivi flani yuko wapi nina muda...
Hiyo ilikuwa around 2000's,mke wa jamaa mmoja alikuwa kibopa wa Mwanza (jina kapuni) anakaa Isamilo karibu na Isamilo International School.Mkewe alinipenda sana,wkati huo nikiwa ndio naanza tu...
Mambo yanakwenda kasi sana!
Siku hizi wanawake waliowengi hawabebi vitambaa wala kanga za kujifutia baada ya kufanya mapenzi!
Sielewi wamepatwa na nini!
Mwanamke wa dizaini hii nilikuwa...
Huyu dada mrembo kaolewa na mumewe mtu mzima kidogo toka pemba mtoto mzuri sana sana si kidogo.
Tulifahamiana siku moja nlimpa lift kipindi cha mvua, siku nyingine tena nikakutana naye nikampa...
Kwa sauti ya kawaida sana isiyobughudhi sikiliza ngoma hizi kumi mnapokuwa mnafanya mapenzi.
#10 Bump ‘N’ Grind – R. Kelly
#9 Doin’ It – LL Cool J
#8 I Wanna Sex You Up – Color Me Bad
#7 Freakin...
Hii kitu naona imekuwa too much sana hasahasa siku za hivi karibuni yaani ukifungua pochi za wadada watatu wa mjini hapa basi wawili lazima kwenye pochi zao utakuta wameweka mafuta ya mgando yaani...
Dah IMENIUMA japo HAYANIHUSU ila nimemuonea huruma sanaa mwamba.
Ni mwezi wa 12, Kama kawaida ikifika december au ikiwa inakaribia huwa nazama mikoa ya baridi kupanda miti. Safari hii nimekuja...
Mada yangu Ni :- Tabia ya mwanamke kupekua simu ya mume.
Naam WAJUMBE nimekumbwa na hiii kadhia ya kukaguliwa simu na Shemeji yenu wiki 3 mfululizo na anakuta majanga (sms za michepuko katika...
Habari wanajamvi, naitwa ***, jinsia ya kiume na mkazi wa Arusha mjini, lengo la thread hii ni kama inavyojieleza (natafuta rafiki wa jinsia ya kike) kwa lengo la kubadlshana mawazo na connections...
Habari za mchana WanaJF,
Nilikuwa naomba ushauri nini sahihi cha kufanya maana miezi kama mitatu imepita mzazi mwenzangu alikuwa anaomba pesa ya matumizi ya mtoto mfululizo mara mtoto anaumwa kwa...
Mpenzi wangu huyu ni Single mother nilikuwa nae kwa ajiri ya kupooza pooza ninapobanwa. Sasa katika kupooza huko naona mwenzangu kanogewa kweli kweli akaanza kuleta story za kutaka nimuoe na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.