BABA TUPAC
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 1,533
- 3,840
Wakuu,
Mimi ni msanii, muziki haulipi. Naishi kwa pesa ninayopata kutoka kwenye kodi - nyumba ya urithi
Sasa kuna jamaa yetu hapa kitaani anafunga harusi tarehe 2 mwezi wa tatu. Nikasema sio mbaya nikimchangia kama jamaa yetu
Nimemchangia laki moja kamili kwa kumtumia kwenye simu, akaniambia ''Asante kaka, vipi ya kutolea?'' sikumjibu kitu chochote
Kwa ambao wanaishi kwa pesa za urithi wanajua uchungu wake, yani nichukue pesa ya kodi badala ya kula na familia yangu au niende studio kurekodi nyimbo au kutoa kichupa nimemtumia huyu baazazi asiye na shukrani.
Hapa nataka nipige simu customer service niwaambie kuwa nilikosea kutuma pesa wanirudishie, je nitakuwa nimefanya jambo baya wakuu? naombeni ushauri wenu, I am very serious