Twende moja kwa moja kwenye mwanzo wa Series hii.
~Kitu cha kwanza ambacho wasichana wengi wanakosea ni, kuamini kua mwanaume akimpa hela ndie anampenda kwa dhati,
Wanawake wengi amabo ni wazuri...
Mpe mpenzi wako bando la week tuseme 2000,kila mwezi mpe 5000 ya kunulia pedi na angalau kila mwezi umchukulie viatu vya 8000 hio gharama inatosha kabisa mengine anayotaka watamsaidia wazazi wake...
Habari za jumapili wadau, ni matumaini yangu mko poa nyote, to cut the long story short ni ivi, miaka miwili nyuma nilitokea kumpenda msichana mmoja mrembo sana, alikua ni msichana wa kisasa...
Wakuu,
Aliyesema, "You can not understand a woman" alikuwa sahihi kwa asilimia 100%,
Kamwe huwezi kumuelewa mwanamke, ila unaweza kumuelewa kwa kumpenda,
Ukikuta kapika chakula kibichi vumilia...
Wakuu,
Kuna kamksasa hapa. Kuna dada imetokea kumpenda sana. Alikuwa jirani yetu. Kipindi cha nyuma tukiwa vijana wadogo (18-22) dada huyu aliwahi kuwa na mahusiano na ndugu yangu ( mtoto wa Baba...
Hi, for a while I have been thinking about this specific issue and can't seem to figure it out, well this is so embarrassing but I have to politely ask.
Not once or twice, this has happened to me...
Ukimpenda mtu kwa dhati, siku ukiona anakosea au anakwenda njia isiyo sahihi lazima umwambie hata kama hatofurahishwa na maneno yako au kujenga chuki, kwa sababu ya wewe kumwambia ukweli.
Huo...
Kwa wale watalaamu wa saikolojia Hebu nisaidieni ukiona mwanamke wako haku amini amini huwa ana sifa za aina Gani maana
1. Akiona simu yako tuu anachukua anaanza kuipekua ajue kuna nini akiona...
Wiki iliyopita ya nilipewa taarifa na ndugu yangu sista aliyeolewa na Muhindi, kwamba wanaomba msaada Jumatatu saa 6 usiku niwapeleke airport pale JKIA wanaelekea India, kwa sababu hawakuwa na...
Wakuu, niliamua kuachana na habari za mademu nikasema sasa ni tungi tu kama mfariji wangu, sasa naona mtungi nao unanipelekesha vibaya najikuta natumia pesa nyingi hadi najiona kabisa napata...
Nina demu wangu mmoja natarajia kufanya nae tendo mwanzoni mwa mwezi wa 12 Sasa binti mwenyewe amekuwa ni mtu wa kunitishia Sana kuwa yeye anajua Sana Mambo Yani ni fundi haswa Sasa wasiwasi wangu...
Mimi kiukweli bado nina mashaka na hawa viumbe wanaitwa wanawake. Kuna maswali fikirishi mno na nahisi kuna nyakati ihuwa wanasikia maumivu ila hawasemi tu
Maswali yangu ni haya
1. Kwanini...
Wanaume, Hii ndiyo uongo mnaodanganywa na wapenzi wenu hasa pale anapokuwa amepata mpenzi mpya, wewe fanya hivi...!!
Wanawake ni waajabu, mara nyingi wanafanya maajabu. Wana uongo mwingi sana...
Husika na kichwa cha habari hapo juu,
Mimi ni kijana kutokana na utafutaji wa pesa haswa kipindi hiki cha matumizi makubwa ya social networks haswa Tanzania nikaona nianzishe secret business ya...
Wanasema ili kuimarisha mahusiano ni vizuri kuwe na mawasiliano mazuri kati ya pande zote mbili yaani me na ke....
Huyu wangu kazidi sasa, au mimi ndiye sielewi mambo yanavyoenda... Kwamba kila...
Katika siku za hiv karibuni kumeongezeka suala la haki sawa wanawake wakitaka usawa pamoja na wanaume lakini hawajui madhara yake ndicho tunachokipanda Sasa ipo siku tutakuja kukivuna ni hatari...
Ni kwanini mambo mengi wakati tunakuwa ( tukikuwa ) tulikuwa tukielekezwa na Wakubwa zetu, ila la Kufanya Ngono tuliachiwa wenyewe?
Je, ni Utashi gani au Ujasiri gani wa Kiasili umeumbwa ndani ya...
Dah! Umeowa mkee wako kila kitu unampaa na bado anakuzunguka. Umeolewa na unampa mumeo kila kitu na Bado anazunguka
Je, ni kuchokana au kutafuta ladha mpyaa au uwanja wa kila siku hauna raha...
Nimekua na mahusiano na wanawake watatu tofauti mara nyingi nilipokua nao nilijikuta mwenye faraja zaidi ya ninapokuwa na mtu niliyekunae umri sawa.
Hivi hii inakuaje wadau
Wasalam wakuu,
Ni wiki ya tatu sasa tangu mama asafiri kwenda kwenye msiba huko nyumbani kwao, nyumbani tumebaki mimi, baba na mfanyakazi wetu wa ndani.
Kwa vile mimi nimeshamaliza chuo na muda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.