Hii ni hali ya kawaida kweli au kuna shida!

Hii ni hali ya kawaida kweli au kuna shida!

Chakorii

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
18,788
Reaction score
51,554
Habari ya muda huu wakuu.ni tumaini langu nyote ni wazima.

Naomba niende kwenye mada husika. Iko hivi wakuu,nilishawahi kuwa kwenye mahusiano ya siriaz miaka miaka kadhaa iliyopita na mnamo mwaka 2015 tukaachana. Tangu nilipoachana nae huo mwaka,sijawahi tena kumpenda mtu kwa dhati.ilishawahi kutokea na sio mara moja nikapata mtu tukakubaliana kuwa tunaingia kwenye mahusiano lkni tukiwa kwenye zile hatua za mwanza kabisa,ninakata mwenyewe mawasiliano.

Nikapata tena mtu mwingine huyu tulifikia hatua hadi ya kupiga game lakini siku chache baada ya kupiga game nikawasipokei simu yake mpka akakata tamaa mkaka wa watu hadi leo.

Mpka nakuja leo kuomba msaada ni kwamba,nilibahatika kupata mkorea mimi na huyu mtu tulishia kukiss tu akasafiri kwenda S.Korea na tulikuwa tunawasiliana vizuri alipokuwa yuko huko .amerudi kama week moja hivi iliyopita cha ajabu nimejikuta simpendi teena jamani na hata akipiga simu sipokei kabisa.

Nimejaribu kufupisha matukio wakuu.nahitaji msaada wenu nini nifanye maana nikweli nahitaji kuwa mtu lakni kila nikimpata hata kama tuko kwenye yale mawasiliano ya mwanzo kabisa,ghafla nyongo inaingia naanza kumchukia na simu sipokei tena mpka mwenyewe anakata tamaa.


Naombeni msaada tafadhali juu ya hili.asanteni nyote na muwe na wikend njema na maandalizi mazuri ya krismas na mwaka mpya.[emoji122]
 
Really
udakutz_-20181221-0001.jpeg
 
Bahati yako huyo wa pili alikupigia simu,sisi wengine tukishaachana kama ni guest au sijui ghetto number yenyewe tunafutilia mbali.

Ila hii ilikuwa enzi zangu,saiv umri umesogea ujana nimeachana nao.
 
Unasumbuliwa na PTSD yaani Post Traumatic Stress Disorder.

Asante mkuu kwa kuniambia kinachonisumbua.kuna mkuu kanilekeza watu wa kunisaidia hapo juu
 
Mi nadhani hujajua unachokitaka kwa wanaume!
Besides, you overestimate your expectations over men!
Chillax babe and lower your expectations over men
 
Mi nadhani hujajua unachokitaka kwa wanaume!
Besides, you overestimate your expectations over men!
Chillax babe and lower your expectations over men
Asante kwa ushauri mkuu.pengine na wewe hujaelewa nilichokiandika.
 
Nilikuqa na hali kama hiyo. Simply inaitwa ptsd. Post traumatic disorder.
What happened ni kwamba brain yako ilipata shock kutokana na break up.
Ili ku control damage, brain yako itazuia any kind of feelings.. including love kukuumiza. Thats why kila anaekuja unamuona si kitu.. why? Because ubongo wako uko kwenye shutdown mode.
My advice jipe muda mpaka hapo utakapokuwa tayari utaachia wenyewe.
 
Haya mambo ni wewe mwenyewe.

You can love
You can hate
You can like

AND

You can decide to love
You can decide to hate

Simply ni wewe unataka nini, ukijiendekeza kuwa ndivyo ulivyo basi itakua hivyo.

Pia, take time kujiuliza kama kuna umuhimu wa wewe kuwa na Mwanaume now? Nina uhakika kuwa wewe huna haja ya mahusiano ukiwa tayari utaona iyo hali inasepa taratibu.

Lakini ni muhimu kujua MAPENZI sio ya kila mtu.
 
Asante mkuu kwa kuniambia kinachonisumbua.kuna mkuu kanilekeza watu wa kunisaidia hapo juu
Huna ugonjwa wowote wa kiakili, usipoteze muda wako na wa madaktari
Hiyo ni hali ya kawaida, hujapata mtu wa kuchukua nafasi ya ex wako.
Ukiingia kwenye mahusiano mengine ingia mzima mzima na sandals na mawigi.
 
Back
Top Bottom