Wanawake wengine hawajielewi kabisa

Wanawake wengine hawajielewi kabisa

Mu7

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2013
Posts
1,654
Reaction score
2,002
Nimejaribu kudate na mwanamke mmoja aisee, majanga. Nimemtoa out vizuri tu, tumekula vizuri tu, tukanywa poa tu, tumepiga stori safi, nikarusha nyavu zikanasa.

Tumekubaliana hatuwezi kusex mpaka tupime afya zetu. Tulipanga siku ya kupima na tukakutana fresh. Tumepima tukakutwa wote tuko fresh. Kabla ya hata siku ya kupima oil, nikaanza kupigwa mizinga. Mara hela ya saloon, mara vocha! Nikawa natoa nikijua hatimaye na mie nitapozwa.

Nilianza kumhisi ni kisirani, kwenye mawasiliano ya texts ana lugha kali na ya kuudhi hata kabla hatujazoeana vizuri.

Sasa tumepanga siku ya mgegedo. Siku moja kabla ya siku yenyewe ananitext kichwa kinamuuma. Siku yenyewe asubuhi ananitext anaumwa sana na anaomba nimtumie kwenye M-Pesa hela ya matunda na ya kusukia. Nilijibu tu SINA.

Hahahahaahaha......mbona alikuwa mbogo. Alifunguka kuwa nina lugha mbaya sana simjali kabisa. Ningekuwa namjali ningetumia hata lugha laini kuwa LEO SINA LABDA KESHO!!

Nimeamua kumpiga chini asijekunipa stress zaidi akishanizoea. Kama hata tunda sijala tayari haeleweki.... atanisumbua huko mbele.

Hawa viumbe hawajielewi kabisa!!?
 
Pole kwa gelofrendi kuugua muda usiomuafaka, muda wewe unahitaji mkajienjoy yeye anataka umsaidie gharama ya matibabu

Pole pia kwa kudhania singomama hatakiwi kuomba pesa na kwamba akiomba pesa basi hajielewi, labda ujaribu kwa ambae sio singo mama mtaelewana kuhusu hilo

Lakini inawezekana kweli alikua mgonjwa na alihitaji msaada wako;
ama inawezekana pia kipimo ulichokua unatumia kumpima yeye kwamba asiombe pesa, ndio kipimo hicho hicho na yeye ametumia kukupima wewe kwa kukuomba pesa tena ya matibabu ili ajue kama anaingia kwenye mahusiano na mtu anayejali au laa

Wenyewe watoto wa mjini wanakuambia ukitaka mwanaume akuache muombe pesa🤣🤣
 
Kwa hiyo mtoto wake ndio kasababisha yeye akuombe hela!? Maana sijaona connection ya yeye kuomba pesa na usingle mother wake

At least ungesema kaanza kukubebesha majukumu ya kulea mwanae ingeniingia akilini.
 
Wewe unatuaibisha wanaume sisi wengine tumenunua magari na tumejenga nyumba wewe unalialia hela ya matibabu tu mpaka una kuja kumuanika hapa, mtoto wa watu bogazi kweli wewe hebu nipe no, yake nimusaidie hela ya matibabu
 
Back
Top Bottom