Hivi ukiacha pesa wanaume mna nini cha kuiteka akili ya Mwanamke?

zagarinojo

JF-Expert Member
Jul 26, 2020
2,622
2,835
Habari zenu JF!

Mapenzi yamechukua nafasi kubwa kwenye maisha yetu. Japo mapenzi yanaweza kuwa ya dhati au sio ya dhati.

Je, unafikiri ukiacha pesa wanaume wana cha ziada cha kuiteka akili ya mwanamke?

Na kwa wanawake ukiacha ngono (sex) wana cha ziada cha kuiteka akili ya mwanaume?

Love Is not all about sex. Wala love is not all about money.

Ila sikuhizi eti usipokuwa na pesa yaani usubiri zile "sikutaki" nyingi na zile "Utanipa nini" za kutosha

Kwa hiyo wasio na pesa hatupati penzi hata kwa ncha ya upanga na mapenzi hayako kwa ajili yetu tukaushie au tujikaze
 
Zamani wanawake walikua wanatekwa na ushujaa,madaraka, n.k watoto wa ma chifu wamekula sana watoto wazuri , mashujaa wale kipindi hiko ndio wawindaji hodari wa vijiji wamekula sana warembo....kila enzi na zama zake
Duh! Kumbe tusio na connection wala pesa hatuna chetu kwenye mapenzi
 
Back
Top Bottom