Napitiliza hadi kituo cha daladala kisa 'wowowo'

Napitiliza hadi kituo cha daladala kisa 'wowowo'

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2016
Posts
20,746
Reaction score
25,662
Mwenzenu karibia naumbuka yaani nikiona mwanamke mwenye makalio makubwa nachanganyikiwa kabisa nakupoteza network.

Yaani inafikia mahali hata kama niko kwenye daladala naenda mahali akipanda mwanamke aliyejaliwa maeneo ya nyumba basi nahakikisha nashuka kituo atakachoshuka hata kama nikupitiliza napoenda naona sawa tu ili mradi nimpe maneno mawili matatu huyo mwanamke.

Hii tabia imenifanya nipoteze muda na mambo mengi ya msingi katika maisha yangu, moja kubwa nakumbuka mwaka jana niliitwa kwenye interview shiriki moja maeno ya Kijitonyama Sayansi, nikiwa kwenye daladala kutokea Mwenge kwenda Posta nilijikuta nimefika Posta kwa kumfuata mdada mmoja, baada ya hapo nikajikuta nimechelewa hiyo Interview na mbaya zaidi huyo dada hakutaka hata kuongea na mimi baada ya kushuka kwenye dalala.
 
Ni pm nikuelekeze MATAKO BAR ilipo. Ukayaone LIVE wakicheza na khanga moja iliyoloweshwa. Kushika shika ni hela yako tu. Kuondoka nao ruksa
 
Back
Top Bottom