Wanawake kama Diana waliishi karne ya kumi na nane na kabla ya hapo

mcrounmj

JF-Expert Member
Feb 26, 2016
380
885
Wasalaamu MMU! Matumaini yangu mko Poa.

Imekuwa ni tatizo kukutana na mwanamke wife material. Wanawake wengi wameonyesha tabia njema katika kipindi cha uchumba, lakini pindi tu walipoolewa na kuitwa wake lasmi tabia zao halisi ndani ya nyumba zilijitokeza.

Katika kizazi chetu na wakati wetu huu, imetokea mara nyingi ndoa kuvurugika mara baada tu ya mume kushuka kiuchumi, kufilisika, kupata ulemavu ama kuugua kwa muda mrefu. Wanawake wengi ndani ya ndoa hawana subira. Wanaolewa kwa masrahi na pindi wanapoona masrahi hayapo tena hujitoa kwenye ndoa hiyo na kwenda kuolewa kwingine ama kuishi wenyewe.

Wanawake wa leo matapeli, wanafake maisha, hawana heshima na wanataka kushindana na wanaume. Ndoa nyingi zimevunjika na nyingine zinachechemea kwa sababu ya wanawake kukosa nidhamu, heshima na utii kwa waume zao. Wanawake wengi waliolewa kwa sababu ya elimu ya mwanaume, cheo cha mwanaume kazini au pesa anazomiliki mwanaume na si upendo walionao juu ya waume zao.

Imekuwa ni nadra sana kukutana na mwanamke aliye kwenye ndoa kuanzia miaka miwili bado anampenda na kumheshimu mme wake hata kipindi anaposhuka kiuchumi ama anapokutana na majanga yoyote. Wanawake hawa waliisha karne ya kumi na nane.

Diana ni mwanamke aliyestahili azaliwe karne ya kumi na nane au kabla ya hapo. Ni wanawake wachache sana wanaoishi sasa katika kipindi chetu lakini matendo yao na tabia zao zikishabihiana na wanawake walioishi karne ya kumi na nane na kabla ya hapo.

Katika harakati zangu za utafutaji nilijikuta naingia chimbo moja katika mikoa ya nyanda za juu kusini. Nilikutana na huyu mwanamke Diana (jina nimempa) kwa mara ya kwanza nilipoenda duka la dawa. Yeye ni nesi kwa taaluma, hivyo alinihudumia, nikavutiwa na ukarimu wake. Ni mwanamke fulani ivi mweusi black beauty, hajisikii na anamuonekano like siyo mnene wala siyo mwembamba.

First day I meet her, nilipata huduma fresh and nothing was more. Nikiwa nimezoea mazingira ndipo nilipata taarifa zake kuwa alikuwa na mshikaji dizaini kama mchumba jamaa fulani fundi pikipiki. Watu wengi walimsifia Diana kwa ukarimu, ucheshi na nidhamu. Hakuwa na makuu na watu na hakuwa anajisikia kabisa.

Miezi sita baadae huyo jamaa ake sijui ndo mchumba alipata ajali mbaya sana ya pikipiki. Alianguka usiku, sehemu ya juu ya mdomo ikatoka, hivyo mwamba huyu meno yote yakawa wazi. People predicted kwamba jamaa ndo anaenda kuachwa kabisa na ukizingatia hawajaoana na hata wazazi hawaijui couple hiyo, but Diana was consistent. Alikuwa bega kwa bega na mshikaji tangu yupo hospital na hata baada ya kuwa discharged demu yuko na jamaa.

Sasa hivi wameoana na jamaa mdomo meno ya juu yako wazi. Hapo kumbuka jama kiuchumi hayuko poa hivyo hata kufanyiwa body replacement ni imeshindikana. Wapo wanaendelea na maisha na Diana wake aliyezaliwa karne hii matendo yake yakiaksi matendo ya wanawake walioishi karne za nyuma.

Let's meet at high 'Cheer's'
 
Actually kutokana na experience yangu,naonaga kama wanawake they can take it all,wanawake wanaweza kuwauguza waume zao hata kwa miaka ,nadhani katika hili wanawake wapewe tu kombe lao uvumilivu wanao kwa kiasi chake,wanaume ni wachache wanaweza kuuguza mkewe for years,hasa akiwa mgonjwa mpaka sex ishindikane kabisa(japo wapo wanaoweza kuuguza wake zao for years)

ila kwa upande mwingine sasa kwa nini mnajiokotea viokote ukitoka tu jioa moja la mbele nduki ,

The thing is wanwake ambao ni humble and ready to stay kwa shida na raha wapo,sema hizo standards mnazojiwekea vijana wa leo ni too high,

mnataka pisi kali

msambwanda,wowowoo n.k

sasa mtu aache kupiga selfie wowow lake apate likes za kutosha insta akae anahangaika na we muanguka na piki piki,weee nani kasema

last ndege wafananao huruka pamoja,ukitaka a humble woman hakikisha unajitahidi kujitengeneza wewe pia kuwa mwanaume ambaye ni humble na utakuwa tayari kumvumilia mwanamke wako chini ya hali zozote,na hapo ndipo tunaposemaga soulmates have met,yaani wote mkiwa na vision sawa yaani utahisi kama umepata the other piece of you ili kukamilishana yaani utaona kama ni raha ukila bila yeye inapungua na kama ni shida akiugua au kuumia peke yake wewe kwako unateseka mara mbili yake

vinginevyo endeleeni kupambana na pisi kali,uko kitandani hoi unajipooza na snaps kali za instaglamu zawifey
 
Wema tupo sana.ila MNA machaguo yenu yanawapitisha pembeni

MF mke mwema ila we unapenda awe na mtako kwa ajili ya kuringishia jamaa zako..sasa unjikuta unakipiga teke unaenda kwa mwenyee mtako wakati si mwema.
Wake wema wapo!
 
Hii dilemma hua ni kubwa we acha tuu.. ni sawa na nyie mnavyopata shida kuchagua kati ya mwenye hela na anaejua shughuli ila hana hela.
 
Hahaaa
Ndo hivo

Mkuu unajua tukiacha ushabiki pembeni, kwetu sisi wanaume bana tako lina heshima yake kubwa tuu. Sisi wenyewe hua tunaona kabisa huyu ni wife material, ila sasa kama ni sony wega flat screen daah... mtu unaanza kuwaza mara mbili mbili kwamba hapa itakuaje? Cha msingi niliwahi kushauri humu ni kuangalia walau awe wa wastani. Kuna wenye shepu nzuri na wametulia pia kitabia.
 
Endeleeni kutafuta hao wa wastani..
Labda mtawapata
 
Ushauli konki chief
Actually kutokana na experience yangu,naonaga kama wanawake they can take it all,wanawake wanaweza kuwauguza waume zao hata kwa miaka ,nadhani katika hili wanawake wapewe tu kombe lao uvumilivu wanao kwa kiasi chake,wanaume ni wachache wanaweza kuuguza mkewe for years,hasa akiwa mgonjwa mpaka sex ishindikane kabisa(japo wapo wanaoweza kuuguza wake zao for years)

ila kwa upande mwingine sasa kwa nini mnajiokotea viokote ukitoka tu jioa moja la mbele nduki ,

The thing is wanwake ambao ni humble and ready to stay kwa shida na raha wapo,sema hizo standards mnazojiwekea vijana wa leo ni too high,

mnataka pisi kali

msambwanda,wowowoo n.k

sasa mtu aache kupiga selfie wowow lake apate likes za kutosha insta akae anahangaika na we muanguka na piki piki,weee nani kasema

last ndege wafananao huruka pamoja,ukitaka a humble woman hakikisha unajitahidi kujitengeneza wewe pia kuwa mwanaume ambaye ni humble na utakuwa tayari kumvumilia mwanamke wako chini ya hali zozote,na hapo ndipo tunaposemaga soulmates have met,yaani wote mkiwa na vision sawa yaani utahisi kama umepata the other piece of you ili kukamilishana yaani utaona kama ni raha ukila bila yeye inapungua na kama ni shida akiugua au kuumia peke yake wewe kwako unateseka mara mbili yake

vinginevyo endeleeni kupambana na pisi kali,uko kitandani hoi unajipooza na snaps kali za instaglamu zawifey
 
Wema tupo sana.ila MNA machaguo yenu yanawapitisha pembeni

MF mke mwema ila we unapenda awe na mtako kwa ajili ya kuringishia jamaa zako..sasa unjikuta unakipiga teke unaenda kwa mwenyee mtako wakati si mwema.
Wake wema wapo!
Kwa uzoefu wangu ni mara chache mnoo na nimeona mdau anaitwaa Napoleon ameeleza jinsi alivyovutiwa na tabia za mke wa jamaa ake. Katika kipindi hiki kumpata mwanamke wife material ni kama kuokota embe chini ya mnazi.
 
Uzi huu ni ushahidi wa nilichokiandika kuhusu wife material.

Actually kutokana na experience yangu,naonaga kama wanawake they can take it all,wanawake wanaweza kuwauguza waume zao hata kwa miaka ,nadhani katika hili wanawake wapewe tu kombe lao uvumilivu wanao kwa kiasi chake,wanaume ni wachache wanaweza kuuguza mkewe for years,hasa akiwa mgonjwa mpaka sex ishindikane kabisa(japo wapo wanaoweza kuuguza wake zao for years)

ila kwa upande mwingine sasa kwa nini mnajiokotea viokote ukitoka tu jioa moja la mbele nduki ,

The thing is wanwake ambao ni humble and ready to stay kwa shida na raha wapo,sema hizo standards mnazojiwekea vijana wa leo ni too high,

mnataka pisi kali

msambwanda,wowowoo n.k

sasa mtu aache kupiga selfie wowow lake apate likes za kutosha insta akae anahangaika na we muanguka na piki piki,weee nani kasema

last ndege wafananao huruka pamoja,ukitaka a humble woman hakikisha unajitahidi kujitengeneza wewe pia kuwa mwanaume ambaye ni humble na utakuwa tayari kumvumilia mwanamke wako chini ya hali zozote,na hapo ndipo tunaposemaga soulmates have met,yaani wote mkiwa na vision sawa yaani utahisi kama umepata the other piece of you ili kukamilishana yaani utaona kama ni raha ukila bila yeye inapungua na kama ni shida akiugua au kuumia peke yake wewe kwako unateseka mara mbili yake

vinginevyo endeleeni kupambana na pisi kali,uko kitandani hoi unajipooza na snaps kali za instaglamu zawifey
Mpendwa comments zako leo zinaukonga Moyo wangu...hivi umeoa?🙈
 
Kwa uzoefu wangu ni mara chache mnoo na nimeona mdau anaitwaa Napoleon ameeleza jinsi alivyovutiwa na tabia za mke wa jamaa ake. Katika kipindi hiki kumpata mwanamke wife material ni kama kuokota embe chini ya mnazi.
Ni kweli wapo ila mnataka waliokamilika vigezo vyenu mtakavyo kwa asilimia zote ndo mana mnaangukia pabaya,tembea ujionee..iam wife material too na naamini husband material wapo pia
 
Back
Top Bottom