Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Urafiki wa kibinadamu unakuwepo pale panapokuwa na sababu maalumu, na hasa pale upande mmoja unaponufaika zaidi kutokana na uwepo wako. Ni vigumu kwa mtu choka mbaya, asiyekuwa na maono n.k...
9 Reactions
43 Replies
5K Views
Ndo ivo tena 2020 inafika kikomo. Kama ulipanga ukatimiza hongera sana mshkuru Mungu wako (kama unaamini) lakini pia huenda kuna ambayo ulipenda yatimie na hukufanikiwa unajikuta unaingia nayo...
11 Reactions
93 Replies
7K Views
Tumedumu na mke wangu kwenye ndoa kwa muda wa miaka sita, tunawatoto wawili. Sasa imekuwa tukikorofishana na mke wangu kisasi analipiza kwa watoto tulio wazaa mimi na yeye kwakuwapiga, hivi ni sahihi?
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Natumai hamjambo wanajamvi Leo nitashare kisa changu cha kumkataa mtoto kilichopelekea kukosa mtoto kwa miaka 6 nikiwa ndoani Ipo hivi, wakati naelekea kuoa nilikua nadate na mdada mmoja ambaye...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Alishapata scandle kwa wanae kuwa akiwa nje ya nchi huwa ninamtafunia mkewe akanipigia simu coz alikuwa swaiba yangu sana baadae mkewe akanipa mtihani mkubwa sana coz alikuwa anatembelea ofisini...
12 Reactions
141 Replies
14K Views
Ni mwanamke mcha Mungu mcheshi ana akili ananiheshimu na kunipenda pia anawapenda sana ndugu zangu nimemuumiza kihisia Mara kadhaa lakini bado upendo wake kwangu unazid kuchanua. Hana mwonekano...
13 Reactions
120 Replies
13K Views
Wakuu Salaam, Anafikia hatua ya kukutambulisha kwao, umepeleke wazazi wako ajili ya kuzungumza mahari bt kumbe nyuma ya pazia kwenye sim yake kakusave "kaka" alafu kuna boya jingine ambalo yeye...
10 Reactions
62 Replies
5K Views
nisaidieni jamani...napata majibu yanayonichanganya... kina kaka na hata kina dada hebu niambieni..mwanaume anapotongozwa na mwanamke anajisikiaje??? ni nini mawazo yake??? Je, unamchukuliaje...
3 Reactions
96 Replies
25K Views
Niaje niaje. Moja Kwa moja kwenye mada, niliwahi kuwa na demu mmoja mkali sana, yaani yule manzi alikuwa ni mkali sana katika wanawake niliowahi kuwa nao wote yule demu bado ni namba mmoja .ila...
5 Reactions
45 Replies
4K Views
Ili mfurahie busu mnatakiwa kupeana (umbusu-akubusu) hivyo ni jambo muhimu la kuzingatia ni kuto achama au kukusanya midomo yako kama unataka kubusu kwa sauti (kama zile busu za sauti za vijana...
7 Reactions
22 Replies
31K Views
Ndugu zangu, unapooa bikra, inamaana unakata utepe, unafungua sild, Wasichana wa kaliba hii wanaofunguliwa sild ni wazuri sana maana wao hawajawahi kufanya hicho kitendo, kwahiyo ni rahisi...
25 Reactions
343 Replies
40K Views
Bado hujapewa jibu la kukubaliwa lakini umekwisha pigwa vizinga vya kutosha. Huu mchezo wa kusema acha nikubali kutoa ili kutengeneza mazingira mazuri nadhani si uamuzi mzuri. Kwani pia ndio...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Wakuu msaada wa kimawazo, kimsingi nilishawahi kuoa huko siku za nyumba ndoa ya kikatoliki, ila haikudumu kwa muda mrefu tukatengana kidini na kimahakama na ndoa ikaishia hapo ila tulibshatika...
2 Reactions
44 Replies
4K Views
Huyu msichana nilisoma nae 'A' level katika shule fulani hapa Dar es salaam. Darasani kwetu hakuna ambae hakumjua maana alikuwa msichana mwenye sura nzuri sana tena kuliko wote darasani. Ila...
28 Reactions
353 Replies
34K Views
Asilimia kubwa ya wanaume waliofanikiwa kumiliki chumba na sebule wengi wao wanaishi na mwanamke ndani either ni mpenzi, mchumba au kimada. Naona kwa kak zangu na marafiki pia wote wana ishi na...
7 Reactions
56 Replies
6K Views
Mwenzenu yamenikuta na kusema za ukweli nashindwa kabisa kuelewa namna ya kutoka hapa na kusonga mbele. Ni mume nilompenda sana sana sana. Mungu katujaalia two beautifull kids na mengine ambayo...
56 Reactions
2K Replies
93K Views
Kwa kweli dunia ina mambo ya ajabu sana. Exboyfriend wangu ni Mchaga wa milimani. Tumedumu naye katika mahusiano kwa miaka zaidi ya mitano. Lakini katika muda huo kumekuwa na ups and down nyingi...
63 Reactions
458 Replies
36K Views
I Want To Get Married To A Very Poor Man! Now we truly understand why our forefathers when it comes to a hand in marriage they're going for girls in the villages, because they still possess some...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Baada ya safari ndefu kati ya Mimi na yeye leo ndo nimegundua mpenzi wangu ameshaniacha japo hajanitakia baada ya kugundua viashiria vifuatavyo: 1. Ameshanitamkia live kuwa upendo wangu kwake...
6 Reactions
63 Replies
8K Views
Wera wera wana MMU Kwenye pilika pilika zangu nikakutana na binti ya kiarabu. Sio wale machotara hapana huyu ni mwarab og kabisa. Nikatupia ndoano mtoto wa kike akaingia kwenye 18 za mkemia...
7 Reactions
60 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…