Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wale mlioajiri jamani ujasiri wa kutembea na mfanyakazi wako unaupataje? Na ukishatembea naye kazi inakuaje? Akikosea unamkoromea au? Ningependa kupata uzoefu hapa wa wanawake mabos na wanaume pia!
4 Reactions
151 Replies
18K Views
Wanaume wenye Nguvu, namaanisha matajiri, watu maarufu, watu mashuhuri na VIONGOZI. Nakanusha kabisa dhana kuwa wasichana/wanawake wazuri kupindukia Mara nyingi wengi wao kuwa huwa hawaolewi...
8 Reactions
94 Replies
13K Views
Wakuu kuna mwanamke nilimtongoza kwenye group moja la dini huko ni! Tulikaa miez mitano kwa mahusiano hatujaonana tukaja kuonana mwaka jana mwezi wa kumi[emoji22] mambo yafuatayo niliyaona: Moja...
7 Reactions
22 Replies
3K Views
Habari za jioni wapendwa, Sina mengi ya kusema ila ni haya machache tu. Namna ya kurudisha upendo uliopotea. Kwa leo nitazungumzia mambo 5 tu ya kufanya iwapo unaona mahusiano yako hayako...
1 Reactions
7 Replies
4K Views
1. Men who cook for their lady atleast once in a while will be loved. girls like men who cooks for them atleast once in a while. therefore if you're a man, perpetually attempt to cook for your...
5 Reactions
28 Replies
3K Views
Vitabu vya Dini vilivyosema tuishi nao kwa akili havikukosea, najua kuna wengine watanipinga lakini nasema hivi Watoto wa kike bila kuwadanganya kuwaongopea bila kuwafanyia maigizo huwezi kwenda...
14 Reactions
44 Replies
5K Views
Nimepata shida kidogo kujuwa hii thread niitupie kwenye forum ipi mojawapo kwani inahusu elimu, mapenzi, psychology etc. Hivyo nahitaji kupata maana halisi ya kusema wife material?? Sitegemei tu...
2 Reactions
4 Replies
3K Views
Every thing in the physical realm represents something in the realm of the spirit And every thing in the physical realm is connected band attached to something in the realm of the supernatural...
5 Reactions
66 Replies
10K Views
Watafiti wanaeleza kuwa wanaume ndio huwa wanakwazika zaidi wawapo na vibamia kuliko jinsia ya kike (wenzi wao). Na huwa watoa madai ati hawawafikishi wenzi wao kileleni kwa kuwa na maumbile ya...
2 Reactions
27 Replies
5K Views
Kama wewe ni mlala hoi almaarufu fukara epuka sana kuwa na wivu kwa mpenzi wako! Huna pesa hata ya kumnunulia japo Simu za promotion Tecno, huna uwezo hata wa kumtoa outing,huna uwezo wa kumfanya...
6 Reactions
17 Replies
2K Views
MAMBO MUHIMU UNAYOPASWA KUWA NAYO MTOTO WA KIUME HATA KAMA HUNA PESA 1. KUTOKATA TAMAA: Mtoto wa kiume hakati tamaa wala hana woga wa chochote ni lazima uwe mtu wa kuchukulia maisha poa by...
9 Reactions
73 Replies
12K Views
Wakuu, Kuna mtakaodhani natania au mtanitukana. Lakini heri nitangaze nia ili uwezo wa siri nilionao unisaidie wakati huu ninapoendelea kutafuta ajira. Mimi ni Mtaalamu wa Massage & SPA, hoteli...
7 Reactions
290 Replies
27K Views
Habarini wana jamvi wa MMU, natumai mu wazima humu. Daaaah, kiukweli kuna vitu vinakeraa sanah Ila ndo hvyo tu . haiwezekan unaamka unamtext MTU mamb umeamkaje anakujibu "P" tena ya herufi kubwa...
7 Reactions
70 Replies
5K Views
Uncle alifanikiwa kuoa mke mzuri akamzalia kitoto kizuri cha kike miaka ya nyuma kilikuwa kidogo tu nimekizidi miaka 20 imagine chenyewe ndio kinazaliwa. Leo hii kimefikisha miaka 22 kimeiva...
13 Reactions
94 Replies
9K Views
Wanaume wenzangu huu ni ushauri wa bure lkn sio kwa wale walioa Tayari. Ni hizi unapokuwa kwenye relationship hakikisha kuna ka demu fulani unaendelea kukajali hata vocha za hapa na pale unakapa...
28 Reactions
58 Replies
5K Views
Hivi wakuu, mapenzi yanaweza yakasababisha wewe usifikie ndoto zako kama kijana wa kiume?
4 Reactions
10 Replies
1K Views
Jana katika pita pita zangu mitandaoni nikakutana na lile sakata la yule Bi. Mkubwa aliechezea vitasa mjini Moshi baada ya kuhusishwa na fumanizi flani. Katika hali ambayo iliamsha hisia zangu...
47 Reactions
144 Replies
15K Views
Juzi wakati nageuka Dsm toka huko kaskazini nilipanda bus na dada mmoja siti ya pembeni. Alikuwa ana kibinda nkoi kishuzi nini gauni Fupi ila alionekana mjamzito. Tulikuwa wa kwanza kufika na...
15 Reactions
53 Replies
6K Views
VIGEZO VYA KUTOA PESA KWA MWANAMKE AMBAYE SIYO DADA YAKO AU MAMA YAKO****"" 1) Lazima awe mpenzi wako na asiwe mpenzi wa maneno yaani lazima uwe Na ukaribu naye wakutosha Haya mambo ya tutaonana...
5 Reactions
195 Replies
21K Views
1.Kitu cha kwanza anza kubadili mwonekano wako anza kuvaaa vizuli uanze kupendeza 2.kitu cha pili anza kufanya vitu vya kimaendeleo 3.kitu cha tatu tafuta pesa hakikisha you work hard kutafuta...
11 Reactions
21 Replies
5K Views
Back
Top Bottom