Ukweli mchungu: Wanawake bila kuwafanyia maigizo katika mahusiano huwezi kwenda nao sawa

Mboka man

JF-Expert Member
Aug 22, 2020
478
1,638
Vitabu vya Dini vilivyosema tuishi nao kwa akili havikukosea, najua kuna wengine watanipinga lakini nasema hivi

Watoto wa kike bila kuwadanganya kuwaongopea bila kuwafanyia maigizo huwezi kwenda nao sawa

Ukitaka mtoto wa kike akupende zaidi au uweze kwenda nae sawa mfanyie maigizo unapopata nafasi ya kudanganya danganya kweli kwelii usiogope kuonekana mjinga zumbukumbuku au bushoke kama kuna sehemu ya kusifia sifia tuu

Lakini ukijifanya wewe ni mwanaume mchaa Mungu Mlokole unataka kuishi maisha yako really nakwambia wanawake utawaona wachungu utalalamika kuachwa sijui kutendwa lakini ukweli wako ndo umekuponza umeachwa
 
Siyo kweli, ni wewe tu, labda unapoteza muda mwingi na Wanawake ambao hawakuoni kama ni Mwanaume sahihi kwao, wakati mwingine tatizo liko upande wako, labda utafute wa size yako, kwa maana kwa uzoeafu wangu hakuna demu anayeleta michezo kwa Mwanaume ambaye anamuona ni dili kwake, ...
 
Brother ivi ulishawahi kujiuliza ni kwanini mwanamke unaweza kumpa mwanamke kila kitu lakini wewe boya akamthamini mtu ambae hana kitu

Unachootoa wewe ndo anachopewa mwingine

Brother inaonekana bado hujawajua wanawake vizuli
 
Siyo kweli Mama yangu ni Mwanamke hata Mama yako ni Mwanamke pia, na nina uhakika mama yangu na mama yako hawako hivyo kama hivyo ulivyosema kuhusu Wanawake, au?
 
Vitabu vya Dini vilivyosema tuishi nao kwa akili havikukosea, najua kuna wengine watanipinga lakini nasema hivi

Watoto wa kike bila kuwadanganya kuwaongopea bila kuwafanyia maigizo huwezi kwenda nao sawa

Ukitaka mtoto wa kike akupende zaidi au uweze kwenda nae sawa mfanyie maigizo unapopata nafasi ya kudanganya danganya kweli kwelii usiogope kuonekana mjinga zumbukumbuku au bushoke kama kuna sehemu ya kusifia sifia tuu

Lakini ukijifanya wewe ni mwanaume mchaa Mungu Mlokole unataka kuishi maisha yako really nakwambia wanawake utawaona wachungu utalalamika kuachwa sijui kutendwa lakini ukweli wako ndo umekuponza umeachwa
Utadanganya yote,,lakini siku ya kudaiwa kumlipia kodi ya nyumba,,
au kudaiwa kumnunulia iPhone 12,,
hapo ndipo ukweli wako utajulikana..
Ukiwa mwongo basi uwe na pesa japo kiasi za kudanyanyia..
 
Back
Top Bottom