Kutembea na mfanyakazi wako(staff wako ofisini) kuna madhara?

Wale mlioajiri jaman ujasiri wa kutembea na mfanyakaz wako unaupataje? Na ukishatembea naye kazi inakuaje? Alikosea unamkoromea au? Ningependa kupata uzoefu hapa wa wanawake mabos na wanaume pia!

Wamama hata asipotembea na kidume
Akiwa Tu inlove kazi zinaharibika
Kidume kitakuja kazin late..
Kitafanya chochote..
Boss mmama akiletewa mashataka anajikausha tu...
Tofauti akiletewa mashataka ya jitu lingine ambalo halipendi..lazima alipuke..

Wanawake bure kabisa wakiwa inlove
 
Na mfanyakaz wangu mkuu

Mpe kitumbua hicho, hakuna tabu.

Ukijibana sana utaanza kuharibu kazi.

BTW: huyu jamaa umesha achana naye?

Mimi ni mwanamke nimempenda mwanaume wangu kupita kiasi hata sijui nimempendea nini. Hili jambo linaniathiri sana kwasabu najua yeye hanipend kama ninavyompenda.

Huwa nabishana na mawazo yangu wakati mwingine kwa kuona kwamba ananipenda saana ila haniamini kwasababu anakauli yake kila siku anasema mimi nina mambo mengi bila kufafanua zaidi, huu umekua kama wimbo sasa masikioni mwangu.

Sasa nakuwa sielewi mambo mengi ni yap? Nachojua tu ana wivu sana. Sikai naye, yeye anakaa kwake na ameajiriwa Serikalini na mimi nakaa kwangu na nimejiajiri ila tupo Mji mmoja.

Nimeshajaribu sana kumuacha nimeshindwa basi angalau nipunguze tu. Nimefungua jina jipya kwasababu maalumu.
 
Wamama hata asipotembea na kidume
Akiwa Tu inlove kazi zinaharibika
Kidume kitakuka kazin late..
Kitafanya chochote..
Boss mmama akiletewa mashataka anajikausha tu...
Tofauti akiletewa mashataka ya jitu lingine ambalo halipendi..lazima alipuke..

Wanawake bure kabisa wakiwa inlove
Dah!
 
Back
Top Bottom