Nimemsaidia mdada nikidhani mjamzito

MIGUGO

JF-Expert Member
Dec 3, 2011
2,131
3,912
Juzi wakati nageuka Dsm toka huko kaskazini nilipanda bus na dada mmoja siti ya pembeni.

Alikuwa ana kibinda nkoi kishuzi nini gauni Fupi ila alionekana mjamzito. Tulikuwa wa kwanza kufika na kupanda bus. Kwa lile tumbo kubwa basi nikawa namtreat kigentleman kama mjamzito safari nzima.

Na alikuwa anatuma balaa mpaka watu wakawa wanahisi sisi couple. Nikawa namjibu usijali pole atakuwa wa kiume si unajua wasumbufu.

Tukafika Dar. Usiku alivyofika nyumbani akanipigia kuwa kafika salama, nikamuaga bye mama K nikimaanisha kijacho. He! akanijibu nani mjamzito we mwehu nini? Ndio nilivyo kesho nikutafute uninunulie mbuzi rombo green view." Nikamwambia ntaangalia.

Aisee!
 
Hayo mambo siyawezi ya kuokota mizigo ya njiani
Nakumbuka 2015 na rafiki yangu tulikuwa tunaelekea Tanga. Ubungo kabla ya kupanda basi kuna mdada tulikutana nae, simu yake ilikuwa inasumbua kwenye whatsapp, akaomba nimrekebishie, then kumbe bando lilimwishia hivyo nikaunga hotspot kwangu.

Muda wa kupanda basi nikakaa nae siti moja. Dah! mdada alikuwa kanona balaa, stori zilinoga mpaka sometimes nikawa namshika mipaja yake iliyojaa jaa kama kuku broiler, mara nasogeza mkono maeneo ya kati moyoni nikisema "Nyama nisiile basi hata mchuzi nisinywe?" dah! Nakumbuka sehemu za chakula na vitafunwa tulikuwa tunashuka na kununua, hadi watu wakawa wanadhani sisi ni wapenzi.

Alinipa contact bila shida na alishukia majani mapana, nami nilikwenda kushuka town na kuchukua chumba, siku ya pili nilionana nae town, nikamwambia situation niliyokuwa nayo jana yake!! Alinilaumu sana kwanini sikumwambia, muda huo ndio nilikuwa napanga kurudi Dar!! Akaniambia amekwenda kwenye harusi ya mdogo wake! Akirudi Dar atanitafuta!! Namba yake nimepiga block!!

Onyo
Tunapenda kula kimasihara lakini muda mwingine ukikikosa kimasihara achana nacho , huwezi jua Mungu amekuepusha na kitu gani.
 
Shule zinafunguliwa lin
Nakumbuka 2015 na rafiki yangu tulikuwa tunaelekea Tanga. Ubungo kabla ya kupanda basi kuna mdada tulikutana nae, simu yake ilikuwa inasumbua kwenye whatsapp, akaomba nimrekebishie, then kumbe bando lilimwishia hivyo nikaunga hotspot kwangu. Muda wa kupanda basi nikakaa nae siti moja. Dah! mdada alikuwa kanona balaa, stori zilinoga mpaka sometimes nikawa namshika mipaja yake iliyojaa jaa kama kuku broiler, mara nasogeza mkono maeneo ya kati moyoni nikisema "Nyama nisiile basi hata mchuzi nisinywe?" dah! Nakumbuka sehemu za chakula na vitafunwa tulikuwa tunashuka na kununua, hadi watu wakawa wanadhani sisi ni wapenzi. Alinipa contact bila shida na alishukia majani mapana, nami nilikwenda kushuka town na kuchukua chumba, siku ya pili nilionana nae town, nikamwambia situation niliyokuwa nayo jana yake!! Alinilaumu sana kwanini sikumwambia, muda huo ndio nilikuwa napanga kurudi Dar!! Akaniambia amekwenda kwenye harusi ya mdogo wake! Akirudi Dar atanitafuta!! Namba yake nimepiga block!!

Onyo
Tunapenda kula kimasihara lakini muda mwingine ukikikosa kimasihara achana nacho , huwezi jua Mungu amekuepusha na kitu gani.
 
Back
Top Bottom