Albahi
JF-Expert Member
- Dec 30, 2020
- 481
- 588
Habari za jioni wapendwa,
Sina mengi ya kusema ila ni haya machache tu. Namna ya kurudisha upendo uliopotea. Kwa leo nitazungumzia mambo 5 tu ya kufanya iwapo unaona mahusiano yako hayako vizuri.
1: Mchumbie upya mkeo, panga kutoka nae hata mara moja tu kwa wiki, si lazim utumie pesa nyingi( hiii ni kwa wanaume walioa).
2: Usijisahau pendeza, Sio kisa et mahusiano yako hayako vizr ndo ujiachie rafu rafu tu, itakula kwako.
3: Andika orodha ya vitu vinavyokuvutia ushee na mke/mme wako.
4: Mwambie mwenzio hitaji lako.
5😛anga kua na mda wa kuongea na mwenzi wako.
Ngoja niishie hapa nisiandike maelezo marefu nikawachosha, kwa kidgo utakachokipata kinaweza kikawa msaada pia. Sio mzuri sana kwenye kuandika naomba tuvumiliane tu.
Ahsanteni.