Ukiona mtu unayempenda sana anaonesha Dalili ya kukuacha taratibu fanya hivi

Mboka man

JF-Expert Member
Aug 22, 2020
478
1,638
1.Kitu cha kwanza anza kubadili mwonekano wako anza kuvaaa vizuli uanze kupendeza

2.kitu cha pili anza kufanya vitu vya kimaendeleo

3.kitu cha tatu tafuta pesa hakikisha you work hard kutafuta pesa

4.kitu cha nne kama ulikuwa huna shughuli maalumu ya kufanya basi tafuta cha kufanya kama ni kazi au biashara

5.kitu cha tano jifunze kubalance shobo sio kila saa siku wewe tuu uanze kuanzisha salamu au kumchatisha

6.kitu cha Sita kuwa bize na mambo yako itakusaidia

Ukifuata hizi hatua hizi hakika utaishinda na mambo yatakaa sawa tuu .....:

Note tunawakumbusha vijana ukiona dalili za kuachwa achana na vile vitabia vya kuomba omba msamaha
 
unaweza kuwa perfect kwa kila kitu na bado mwenzio akaamua kukuacha , inabidi kuelewa kwamba hauwezi kucontrol kile mwenzio anafikilia kuhusu wewe , fanya part yako alafu muache afanye ya kwake kamwe usijilaumu kwa kile mwengine anafanya kwa kuona tatizo linaweza kuwa ni wewe.
 
Get life first, hayo mengine yatakaa yenyewe tu kwenye mstari.

Let's meet at the top, cheers 🍻
 
unaweza kuwa perfect kwa kila kitu na bado mwenzio akaamua kukuacha , inabidi kuelewa kwamba hauwezi kucontrol kile mwenzio anafikilia kuhusu wewe , fanya part yako alafu muache afanye ya kwake kamwe usijilaumu kwa kile mwengine anafanya kwa kuona tatizo linaweza kuwa ni wewe.
Uko sahihi.
 
Back
Top Bottom