Mambo muhimu unayopaswa kuwa nayo mtoto wa kiume hata kama huna pesa

Galacha Maestro

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
1,353
2,220
MAMBO MUHIMU UNAYOPASWA KUWA NAYO MTOTO WA KIUME HATA KAMA HUNA PESA

1. KUTOKATA TAMAA:
Mtoto wa kiume hakati tamaa wala hana woga wa chochote ni lazima uwe mtu wa kuchukulia maisha poa by sometimes ukitamani makubwa sana utakufa kwa stress wenzako Korea wanajinyonga kisa ku-espect mambo makubwa mno, wewe kama huna kitu chukulia mambo poa huku ukipambana kwa kujipa Moyo One Day Yes.

2. MBISHI KIGUMU:
Mtoto wa kiume lazima uwe mbishi, Mgumu na mjeuri kimtindo yaani mtu akikuona ukamuangalia tu anagwaya na kuanza kuogopa ogopa mwenyewe hata ukimtokea msichana unamchana makavu live kuwa upo majalala mwisho wa mwezi huna mshahara ila umemzimika kisela kwani magangster si ndo wanawang'oa mabeibe wakali asa wee usharobaro wa kurembua rembua macho. Mtoto wa kiume kwa msichana unakuwa mkweli na muwazi unafunguka hali halisi ya maisha yako sio kutongoza kwa gari la kuazima hizo tabia za kijinga

3. ISHI MAISHA YAKO KIVYAKO:
Mtoto wa kiume ambaye ni mgumu tena hardcore kweli kweli na uwe mwanaharakati komandoo full Gangastar msela kavu mnyambilisi king dan'dara nondo pinko kangacha huwa anaishi maisha yake, No Fake life kuishi kwa maigizo hizo mishe za kiboya. Mtoto wa kiume unaishi maisha yako kama huna huna na unakubali huna lakini usikubali kudharauliwa hata kidogo sio unakuwa fala mtu anakuspinch mpaka pua umebung'aa tu mrukie mtu juu ushuke na sikio au jicho kuwa kamanda nigger

4. JASIRI:
Mtoto wa kiume sio lazima uwe na kitu mfukoni ndio upate nguvu unatakiwa automatically tu uwe na ujasiri moyoni sio unatishiwa chura huyo unaogopa hizo sio tabia za watoto wa kiume wenzako hata ukiwa umechafuka vipi au hujaoga akapita msichana unayemkubali mstopishe umtemee madini, komaa mwanangu acha uwoga hata kama huna kitu jikoki mibomu ya nuklia kamlipulie msichana kigumu sio kumvizia mpaka uwe umependeza umevaa nguo nzuri kwani mapenzi ni nguo acha ubwege wewe mtoto wa kiume hata kuita baby baby kila dk mgumu hamuiti msichana baby, muite kigumu she's gonna give you her body believe me hawa mwalimu wao kipofu

5. MVUMILIVU:
Mtoto wa kiume kama huna kitu lazima uwe mvumilivu hata kama home umehaidiwa pocket money next week usiforce sana komaa mtoto wa kiume sio njaa ya siku moja ikulostishe utamani kufanya habari sio, wewe ni kama mwamba mwanaume hapotezi uvumilivu na usipokuwa mvumilivu unaweza chokonolewa mwangu jihadhari sana.
 
Last edited:
Mkuu kwa mademu wa saivi bila wallet utaishia tu kuwaangalia wakipita nakwambia,,
 
MAMBO MUHIMU UNAYOPASWA KUWA NAYO MTOTO WA KIUME HATA KAMA HUNA PESA
1. KUTOKATA TAMAA: Mtoto wa kiume Hakati Tamaa wala hana Woga wa Chochote ni lazima uwe mtu wa kuchukulia maisha poa by sometimes ukitamani makubwa sana utakufa kwa stress wenzako Korea wanajinyonga kisa ku-espect mambo makubwa mno, wewe kama huna kitu chukulia mambo poa huku ukipambana kwa kujipa Moyo One Day Yes
2. MBISHI KIGUMU: Mtoto wa Kiume Lazima uwe Mbishi, Mgumu na mjeuri kimtindo yaani mtu akikuona ukamuangalia tu anagwaya na kuanza kujinyea nyea mwenyewe hata ukimtokea demu unamchana makavu live kuwa upo majalala mwisho wa mwezi huna mshahara ila umemzimika kisela kwani magangster si ndo wanawang'oa mabeibe wakali asa wee usharobaro wa kurembua rembua macho wa nini mwishowe upigwe midole kama choko vile.
Mtoto wa kiume kwa demu unakuwa mkweli na muwazi unafunguka hali halisi ya maisha yako sio kutongoza kwa gari la kuazima hizo tabia za kishoga
3. ISHI MAISHA YAKO KIVYAKO: Mtoto Wa Kiume ambaye ni mgumu tena hardcore kweli kweli na uwe Mwanaharakati komandoo full Gangastar msela kavu mnyambilisi king dan'dara nondo pinko kangacha huwa anaishi Maisha yake, No Fake life Kuishi kwa Maigizo hizo mishe za kiboya
Mtoto wa kiume unaishi maisha yako kama huna huna na unakubali huna lakini usikubali kudharauliwa hata kidogo sio unakuwa fala mtu anakuspinch mpaka pua umebung'aa tu mrukie mtu juu ushuke na sikio au jicho kuwa kamanda nigger
4. JASIRI: Mtoto wa Kiume sio lazima uwe na kitu mfukoni ndio upate nguvu unatakiwa automatically tu uwe na ujasiri moyoni sio unatishiwa chura huyo unajamba jamba hizo sio tabia za watoto wa kiume hizo fanya ukiwa na machoko wenzako
Hata ukiwa umechafuka vipi au hujaoga akapita demu unayemkubali mstopishe umtemee madini, komaa mwanangu acha uwoga wa kifala hata kama huna kitu jikoki mibomu ya nuklia kamlipulie demu kigumu sio kumvizia mpaka uwe umependeza umevaa nguo nzuri kwani mapenzi ni nguo acha ubwege wewe mtoto wa kiume hayupo hivyo hizo tabia za mashoga hata kuita baby baby kila dk mgumu hamuiti demu baby muite bitch en she's gonna give you her body believe me hawa mwalimu wao kipofu
5. MVUMILIVU: Mtoto wa kiume kama huna kitu lazima uwe mvumilivu hata kama home umehaidiwa pocket money next week usiforce sana komaa mtoto wa kiume sio njaa ya siku moja ikulostishe utamani kufanya habari sio, wewe ni kama mwamba mwanaume hapotezi uvumilivu na usipokuwa mvumilivu unaweza chokonolewa mwangu jihadhari sana
Galacha maestro hapo umepatia aisee. Ila siku hizi wanaume wamepungua sana sijui kwanini.
 
we lazima utakua unaish kwa mjomba
 
Mwanaume ukiwa mtanashati na ukajiamini, popote unatoboa aiseeee....
 
Kujiamini kuna kikomo chake waulize wanawake maana wanajua. Mwanamke anamchoka haraka sana mtu mwenye saundi nyingi sana huku mfukoni akiwa mtupu maana hata bla blah zake zinakuwa zinakera kama sauti ya nzi wa chooni. Lakini kama unatafuta pesa kwa bidii, huchagui kazi, sio sharobaro njaa, hukai vijiweni ovyo ovyo, hutakuwa unatongoza maana watakuja wenyewe. Mwanamke anapenda security, na hiyo siyo misuli peke yake.
 
MAMBO MUHIMU UNAYOPASWA KUWA NAYO MTOTO WA KIUME HATA KAMA HUNA PESA
1. KUTOKATA TAMAA: Mtoto wa kiume Hakati Tamaa wala hana Woga wa Chochote ni lazima uwe mtu wa kuchukulia maisha poa by sometimes ukitamani makubwa sana utakufa kwa stress wenzako Korea wanajinyonga kisa ku-espect mambo makubwa mno, wewe kama huna kitu chukulia mambo poa huku ukipambana kwa kujipa Moyo One Day Yes
2. MBISHI KIGUMU: Mtoto wa Kiume Lazima uwe Mbishi, Mgumu na mjeuri kimtindo yaani mtu akikuona ukamuangalia tu anagwaya na kuanza kujinyea nyea mwenyewe hata ukimtokea demu unamchana makavu live kuwa upo majalala mwisho wa mwezi huna mshahara ila umemzimika kisela kwani magangster si ndo wanawang'oa mabeibe wakali asa wee usharobaro wa kurembua rembua macho wa nini mwishowe upigwe midole kama choko vile.
Mtoto wa kiume kwa demu unakuwa mkweli na muwazi unafunguka hali halisi ya maisha yako sio kutongoza kwa gari la kuazima hizo tabia za kishoga
3. ISHI MAISHA YAKO KIVYAKO: Mtoto Wa Kiume ambaye ni mgumu tena hardcore kweli kweli na uwe Mwanaharakati komandoo full Gangastar msela kavu mnyambilisi king dan'dara nondo pinko kangacha huwa anaishi Maisha yake, No Fake life Kuishi kwa Maigizo hizo mishe za kiboya
Mtoto wa kiume unaishi maisha yako kama huna huna na unakubali huna lakini usikubali kudharauliwa hata kidogo sio unakuwa fala mtu anakuspinch mpaka pua umebung'aa tu mrukie mtu juu ushuke na sikio au jicho kuwa kamanda nigger
4. JASIRI: Mtoto wa Kiume sio lazima uwe na kitu mfukoni ndio upate nguvu unatakiwa automatically tu uwe na ujasiri moyoni sio unatishiwa chura huyo unajamba jamba hizo sio tabia za watoto wa kiume hizo fanya ukiwa na machoko wenzako
Hata ukiwa umechafuka vipi au hujaoga akapita demu unayemkubali mstopishe umtemee madini, komaa mwanangu acha uwoga wa kifala hata kama huna kitu jikoki mibomu ya nuklia kamlipulie demu kigumu sio kumvizia mpaka uwe umependeza umevaa nguo nzuri kwani mapenzi ni nguo acha ubwege wewe mtoto wa kiume hayupo hivyo hizo tabia za mashoga hata kuita baby baby kila dk mgumu hamuiti demu baby muite bitch en she's gonna give you her body believe me hawa mwalimu wao kipofu
5. MVUMILIVU: Mtoto wa kiume kama huna kitu lazima uwe mvumilivu hata kama home umehaidiwa pocket money next week usiforce sana komaa mtoto wa kiume sio njaa ya siku moja ikulostishe utamani kufanya habari sio, wewe ni kama mwamba mwanaume hapotezi uvumilivu na usipokuwa mvumilivu unaweza chokonolewa mwangu jihadhari sana
Hii kweli ni kwa WATOTO WA KIUME..........
 
Back
Top Bottom