Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,108
Kama wewe ni mlala hoi almaarufu fukara epuka sana kuwa na wivu kwa mpenzi wako!
Huna pesa hata ya kumnunulia japo Simu za promotion Tecno, huna uwezo hata wa kumtoa outing,huna uwezo wa kumfanya afurahie kuwa na wewe haupaswi kuwa na wivu!
N.B,ujumbe huu hautuhusu sisi mabahili lkn pesa tunazo