Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kila nikikumbuka tukio hili moyo wangu huwa unabubujikwa na machozi mithili ya damu ya kuku anayejinjwa, sijui hata ni kwanini ila asikuambie mtu, umasikini mbaya sana! Nakumbuka miaka ya 1990s...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Historia inaanza hivi... Kipindi nkiwa bado shule secondari miaka kumi sasa imepita, nilinunuliwa simu na bro wangu. Siku moja ghafla mida ya mchana iliingia SMS kutoka kwa namba ngeni ikisomeka...
35 Reactions
415 Replies
36K Views
Hapa nahitaji tu kueleza kilichowahi kunitokea mimi mwenyewe 90s. Kuna huyu binti tulikutana huko machokoloni, nikiwa kijana tu. Tukaanza mambo ya kuwa pamoja sijui na nini ye yuko kwao (student...
2 Reactions
40 Replies
6K Views
Heshima kwenu wakuu, Leo nmeona niiandike hii stori ambayo nmekaa nayo kipindi kirefu tu. Ntaiandika kwa ufupi sana japo kwa kuosoma inaonekana ndefu. Huu ni mkasa wa mapenzi ambao sitausahau na...
107 Reactions
249 Replies
34K Views
Muhumu kuliko yote. 1.Tuwape mitaji wake zetu ili wasimame wenyewe mapema. 2.Tuandike warithi mapema Usione fahari kuoa mwanamke ukirudi nyumbani unakuta kaandaa mahanjumati tu, bingilibingili...
5 Reactions
8 Replies
2K Views
Wapendwa habari zenu. Mimi kama binadamu wa kisasa nimebahitika kutembea na wapenzi wengi sana. Toka nimebarehe kwa kumbukumbu za haraka nimepita Kama na wapenzi 25 ninaowakumbuka. Namkumbuka...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Na pia kama huyo Dada kaja na pisi nyenzake kibwena na wamekula vyakutosha . Halafu salio lako linasoma kidogo. Tafadhali Tupigie tutakuja na polisi kukukamata kama muhalifu. Na ikiwa kuna...
8 Reactions
23 Replies
3K Views
Naimani mko powa ssana watu Bad na masista duuh na bi wakubwa shikamonni Uzi unaanza Wiki kama mbili zimpita kuna mke wa mtu katokea pande ambko nafanyia kzi me ni gym trainer sasa huyu bi dada...
4 Reactions
29 Replies
4K Views
Wewe Mwanamke Nikikutongoza Ni Siku 3 Tu, Ukizingua Haya Sina Muda Na Wewe Tena Labda Yani Labda Unifuate Mwenyewe. Mimi Mambo Ya Kubembeleza Mapenzi, Wiki, Mwezi, Mwaka Huu Mchongo Nimejaribu...
8 Reactions
29 Replies
3K Views
"Nakupenda sana mume wangu sina mwengine zaidi yako" Je, kuna usalama kweli wakuu? Niko mbali na mke wangu, then from nowhere kanitumia hiyo text.
23 Reactions
252 Replies
24K Views
Ex boyfriend wng ameniletea zawadi. Yeye anasema niza birthday wakati birthday yng ilikua october ila yeye alikuwa ameenda nchini kwao sasa amerudi ameniletea zawadi anasema za birthday. Wakat...
3 Reactions
69 Replies
7K Views
Let's face it, majority of you guys like women with million dollar body types. You like them curvy and with enough load at the back, that one isn't something you can hide anymore although there...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu namalizia ku file case ya Money laundry, hapa kama zawadi kwa mpuuzi mmoja ambaye amekosa heshima. Hii itakuwa zawadi nzuri sana kwake kwa mwaka huu wa 2021, nitahakikisha anapata...
5 Reactions
107 Replies
8K Views
Kwa miaka ya hivi karibuni jamii imekuwa ikishuhudia vitendo vingi ambavyo kwa namna moja ama nyingine si vya kingwana kabisa hasa kwa watoto wadogo waliopo chini ya umri wa miaka 15. Sababu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari zenu wana JF members wote? Mimi Ni mwanachama mwenzenu ingawa hii ni Mara ya Kwanza kuandika kisa humu jukwaani,hivo mtanisamehe kwa uandishi mbovu kwa kiasi Fulani. Mimi Ni mwanaume umri...
7 Reactions
161 Replies
18K Views
Wadau kuna manzi mmoja nimeopoa, tunajuana kidogo background za home. Yupo mkoa D nami nipo mkoa S, anataka nimtumie kias cha sh.125,400 afanye mtihani online (focus africa) ili aweze kuajiriwa...
4 Reactions
49 Replies
4K Views
Marafiki zangu wakiume huwa wanasema kwamba. “ hatuwezi kuoa wadada tunaolewa nao pale kidimbwi au tips”. Au wanasema hivi wale madem tunaowabambia kule club element pale watawaoa kina nani?”...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Kiufupi mimi ni mtu wa watu sana na nina marafiki wengi sana Hawa mrafiki sio marafiki basi tu, Ni marafiki haswa, Yani kwa siku lazima tuchekiane kwenye simu, wanakuja home mara kwa mara...
4 Reactions
19 Replies
3K Views
Habari wazee salam kwenu ziwafikie popote mlipo, Kwakweli habari yangu hii ya leo bwana nimeboreka harafu nimekasirika, nimepata mgeni Nyumbani kutoka kutoka pande tofauti za Tanzania (sio mpaka...
6 Reactions
34 Replies
4K Views
Back
Top Bottom