Kipindi nipo form 2 nilibahatika kufall inlove na mtoto mmoja wa kinyankole ( kwa mliowahi kuishi Uganda mtakuwa mnafahamu watoto wa hili kabila), aisee! mtoto alikuwa mkali, mweupee macho kama...
Ndugu zangu habarini za mwisho wa wiki,
Leo naombeni walioko kwenye ndoa hasa wanawake wanisaidie jambo moja ambalo nimeliona. Mara kadhaa nimesikia wanawake wakisema kuwa "Mwanaume haishiwi...
Nawataharifu kkuhusu sheli za oil com ni wezi vibaya tahathari ukiwa unaweka mafuta usikae kwenye gari shuka uhakikishe nilijua ni mimi tu nimepata ili tatizo nimekutana na rafiki zangu 3...
Mmi ni Dada nina miaka 27 nina mtoto mmoja natafuta mwanaume Wa kujenga nae ndoa sifa zangu mim ni mpole mcha mungu mkalimu pia mwanaume ninae mtaka aweanajitambua mchapa kazi mwenye mapenz ya...
Natafuta rafiki akidevelop awe mchumba then mke sifa ziwe hizi hapa
Awe mkristo mimi ni roman
Awe msukuma au mnyamwez kama mimi
Awe na miaka chini ya 27 mimi nina 30
Awe tayar kupima H.I.V...
Kila siku mmekuwa watu wa kulalamika tu mara ohooo mume wangu ana michepuko mara boyfriend wangu ananichiti, ndugu zangu niwaambie tu siku hizi mapenzi ni ushindani kama unavyoona ligi usipompa...
Habari za muda huu wana Jf matumaini yangu wote muwazima wa afya.
Lengo kuu la kuanzisha huu uzi ni kutaka kumuomba msamaha girlfriend wangu wa zamani ambaye tuliachana takribani miaka 7...
Leo nimemkumbuka huyu bi dada.. Katika pilika za hapa na pale nikabahatika kula buku buku zake... Zipofika buku tano, manung'uniko yakaanza kwamba eti namu exploit.
Yani bila kujali benefits...
HABARI GANI MARAFIKI HUMU NDANI NI MATUMAINI MU WAZIMA WA AFYA NJEMA.
Nakuja mbele yenu ili niweze kupata ushauri juu ya hili tatizo linalonikabili la ninapokaribia kufika kileleni (mshindo)...
Haya leo nirudi tena kwa ndugu zangu ambao wamehangaika kupata mtoto. Kwa wanawake huona kuwa mtoto huwa ni mokozi wa ndoa zao, inaweza kuwa kweli kwa kuwa mahusano mengi huvunjika kwa kukosa...
Hii ni mada ya kukumbushana mambo kadhaa....!!!
Wote tunafahamu kiporo... Kwa jina lingine ndasa... Kiporo ni chakula kilichobakishwa baada ya kuliwa... Mara nyingi usiku.. Kiporo kina ladha yake...
Natafuta mchumba, sifa awe Na miaka 23-30. Awe mwe usi au maji ya kunde, dini yoyote, awe mrefu wa wastan, awe Na wembamba usio Na mashaka, awe Na chura wa kawaida tu. Tabia iwe njema Na...
Kadri siku zinavyokwenda, inazidi kuwa ngumu kutofautisha kati ya wale machangudoa wanaojiuza barabarani na hawa wadada wa kawaida wa mtaani.
Kwasababu kama wewe mdada una-date na mwanaume...
Swali dogo tu,
Eti mimba iliyoingia terehe 4 mwezi mpaka terehe 18 mwezi huu inaweza kuonesha dalili zozote kama kichefuchefu au kutapika? Je, ujauzito unaweza kupimwa wakati huu?
Kuna dogo...
I am Looking for a Single Mother who will be ready to be my future wife. I am also a Single father 34 of age, well educated and self employed. A single mother should have at least 25 - 30 of age...
Habari ndugu mwana JF, kuna mambo ambayo inatakiwa kuyafahamu katika maisha
Unapofikiri kwenda kufanya mapenzi na mtu asiye mke wako wakati huo unamke, jua ya kwamba yupo mwingine ambaye...
Salaam wanajamvi
Nina Mke na watoto wawili na mmoja ni kijacho
Nimekuwa kwenye mahusiano na mwanamke huyu kwa miaka 9 na mwaka Jana tukafunga ndoa ya bomani maana kila mmoja Ana imani yake na...
Hili suala mimi binafsi limekuwa likinitesa sana pamoja na kuwa nje kwa mda mrefu na mahusiano tofauti tofauti lakini linapokuja suala la kuoa napata wakati mgumu sana nikiwa naamini kwamba...
Love is a beautiful thing we must not take it for granted. Tokea kipindi tumeanza kujitambua kwa jinsia zetu wote tumepitia mambo mengi sana katika mahusiano. Na kwa vile hatujui ni lini pumzi...
Hi guys ni matumaini yangu mko poa
Nimerudi tena hapa love connect,nataka kushare na wengi au wachache wenye kupenda maisha ya wengine
Kwa kipindi chote tokea nitoe tangazo hapa.Nimekuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.