Sijapata wa kulingana na yeye

Bikira23

Member
May 25, 2020
18
30
Wapendwa habari zenu.

Mimi kama binadamu wa kisasa nimebahitika kutembea na wapenzi wengi sana. Toka nimebarehe kwa kumbukumbu za haraka nimepita Kama na wapenzi 25 ninaowakumbuka.

Namkumbuka mwaka juzi nilipata mpenzi mmoja huko mbeya tuka enjoy vya kutosha Sana. Mpaka nikamtambulisha kwa mzazi ila kwa vile nilienda huko mbeya kwa muda wa miezi 2 pekee badaye niliondoka na kurudi home Bukoba. Hivyo sikuweza kuonana naye mpaka mpaka mwaka huu mnamo mwezi wa 5 tulionana. Kweli tulikuwa tumesiana vya kutosha.

Tulikaa pamoja kwa siku mbili mfululizo lkn bahati mbaya alikuwa anayenda masomoni kwahyo pia aliondoka na Mimi nikaondoka. Shida ipo kwenye kumuondoa kichwani na Rohoni mwangu. Tulishazinguana mara kibao lkn kumuondoa nimeshindwa.

Sijui tatizo kwa vile tuliwekeana mipango ya kuona ata sielewe kwa na kwetu Ni mbali mno. Nipeni msaada wa namna ya kumuondoa huyo mtu rohani mwangu
 
Mbona kazi ndogo sana. Uko wapi na unafanya nini kwa sasa? Isijekuwa ni katoto ka mh Ndali tukapoteza mda hapa. Ka we ni wa elimu ya juu njoo pm tuyajenge hadi ushangae ulikuwa wapi
 
Mbona kazi ndogo sana. Uko wapi na unafanya nini kwa sasa? Isijekuwa ni katoto ka mh Ndali tukapoteza mda hapa. Ka we ni wa elimu ya juu njoo pm tuyajenge hadi ushangae ulikuwa wapi
Mwanaume huyo shauri yako utaumia.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom