Jino kwa Jino. Kwanini nisifanye kitu kwa huyu jamaa

Chairman Lee

JF-Expert Member
Mar 11, 2015
1,352
1,485
Wakuu namalizia ku file case ya Money laundry, hapa kama zawadi kwa mpuuzi mmoja ambaye amekosa heshima.

Hii itakuwa zawadi nzuri sana kwake kwa mwaka huu wa 2021, nitahakikisha anapata anachostahili kwa namna yoyote ile.

Facts ni kwamba, huyu jamaa amenifanyia mambo mengi sana nikamvumilia kwasababu anajifanya ana hela kuzidi serikali tukufu naombeni nimfundishe adabu kidogo.

Behind the scene huyu jamaa amehusika sana kunivurugia familia yangu, kwa details nilizopata na kuzihakiki, kuanzia familia mpaka juzi nipo safarini ametoka na mpenzi wangu najua pesa ndio zinampa kiburi japo pesa hata mimi ninazo,
Ila kisiwe kigezo cha kuharibu maisha yangu.

Naomba nimrudishe alipotokea ikiwezekana ajutie kuzaliwa.

Naomba kuwasilisha.
 
Back
Top Bottom