Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mimi ni kijana wa kiume, 27yrs mkazi wa DSM. Natafuta mchumba wa kike umri 20-25 au zaidi mwenye nia ya dhati ya kutulia kwenye mahusiano na kufikia kuanzisha maisha pamoja. Mimi ni mkristo tena...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Mimi ni kijana ambaye nimeajiriwa ambaye natafuta mchumba ambaye tukikubariana ndio ataekuwa mke wangu ili nimuoe kiukweli sina vigezo vingi ila viwili tu vinatosha 1)awe mweupe na 2)awe muislamu...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Hamjambo wadau, Leo ningependa kuongelea kidogo juu ya hili jambo. Najua wengi wenu hamna utamaduni wa kulalia shuka lenye rangi nyeusi, mmezoea meupe, na yenye rangi zingine ila sio nyeusi...
7 Reactions
72 Replies
13K Views
(Hichi ni kisa cha rafiki yangu wa karibu saana) Habarini za usiku mkali wanajamvi its time for DAKU, Mimi ni mwanamke mwenye umri wa Miaka 28 na nimeolewa. Mume wangu ana miaka 42. MUNGU...
5 Reactions
67 Replies
12K Views
Nina mke na watoto 3 wote tunafanya kazi. Tulipozaa mtoto wa pili wife alianza kupunguza umuhimu wa tendo la ndoa sijua ni kwa kuzoea au kuchoka. Tumewekana vikao vyetu binafsi ili kila mmoja...
13 Reactions
383 Replies
65K Views
za jumapili na weekend kwa ujumla, ni wazi kwamba wengi wetu tunajua nini ambacho mama diamond amekiwasha huko anga za habari na kusababisha kila mahali kuwa ngumzo tu, kwa yanayoendelea nin...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari JF nina mpenzi wangu mlokole tunatarajia kufunga ndoa huu mwaka lakini ana tabia zake ambazo zinanichanganya sana. Asee huko kanisani kwao, yaani anamheshimu sana Mchungaji wake kuriko mimi...
11 Reactions
69 Replies
7K Views
Wana MMU. Hebu niwashirikishe neno la Mungu kwenye wikiendi hii,najua wengi tunapita katika changamoto mbali mbali lakini Yesu akiwa upande wetu hata chuma kinaelea. 2 Wafalme 6:1-7: "Wana wa...
8 Reactions
25 Replies
7K Views
Habari wadau. Kitendo Cha kuhonga katika mapenzi Ni kitendo Cha asili.toka zama za mababu wanaume walikua wakiwahonga wapenzi wait vitu mbalimbali mfano khanga,vitenge,nguo,viatu,vipodozi,hell na...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Let put aside trails and tribulations of this life, what does a relationship suppose to be like? Well, for me a relationship suppose to be the most beautiful thing of all time. Sharing thay deep...
2 Reactions
28 Replies
2K Views
Kuna siku jamaa mmoja katika pitapita zake alimwona mdada mzuri kwa mtazamo wake(siwezi sema kwa mtazamo wangu kwasababu kila mtu anatamani kile anachotamani/penda) alikua na shepu nzuri,sura ya...
5 Reactions
42 Replies
6K Views
Ulipokuwa sekondary akaja mtu wa chuo akamchukua mpenzi wako, ukaenda chuo akaja mtu anayefanya kazi akamchukua mpenzi wako, ukapata kazi akaja mwenye gari lake akamchukua mpenzi wako, ukanunua...
12 Reactions
32 Replies
3K Views
Naendelea na wito wangu wa kufanya mgomo usio na kikomo wa kuoa, hapa nawaomba wanaume hasa wanaojielewa kuendelea kuwasusia kuwaoa tuwapashe matobo tu tule nduki ndefu.. huko kwenye ndoa...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
  • Closed
Umri: 40 Elimu: Diploma Uzito : 84kg Urefu: 1.7m Kazi: Sina Hela: Sina Nyumba: Sina Watoto: Watatu Ke1, Me2 Mke: Sina Ujuzi: Umeme, useremala, na ufundi vyuma. Madeni: Milion 2.4 Mengineyo...
22 Reactions
118 Replies
8K Views
Katika shemeji zenu wavumilivu huyu ni mvumilivu sana. Mpaka naogopa na kumwonea huruma sababu ni mwanamke mzuri anayejielewa ila kanipenda mimi mtu wa hovyo kabisa. Nisiyemfaa, mjinga, bwege na...
4 Reactions
45 Replies
5K Views
Wakuu habari za leo, bila kupoteza muda ipo hivi: huyu mtoto wa kike kazaliwa na shemeji yangu baada kuachana na kaka yangu. Watoto wawili wa mwanzo ni wa kaka yangu kabisa akafuata yeye ni wa...
6 Reactions
101 Replies
11K Views
Yani ukipita instagram, kila mtu anauza dawa za kuchubua ngozi ili "kutakatisha ngozi" Muda huo huo tunasikia watu fulani wanasafilisha dada zetu kunyanyaswa nje ya nchi!! Tunasikia, ndani ya...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Wanawake hivi Mnajua sababu kwanini Wanaume wengi sikuhizi Hawaoi? Nimekua nikiona makanisani Wanawake wanavyoenda mbele kuombewa ili wapate ndoa, Mchungaji akisema POKEA NDOA? utasikia...
3 Reactions
11 Replies
4K Views
Nishaandika week hii, nimeugulia Sana Maumivu, nataman kua na mwenza lakin kila nikiwaza jinsi ya Kumpata mwenye vigezo navyotaka nahisi ugumu, Imefika hatua nawaogopa wanawake kuanzisha nao...
5 Reactions
83 Replies
9K Views
Nimeshaobserve sana hili suala yaani kwa mfano mimi nisipomtamani mdada rohoni, huyo mdada lazima anishobokee, kosa ni kuwa nikiona mdada halafu moyoni nikaanza kumtamani sana na kumpenda na...
8 Reactions
58 Replies
11K Views
Back
Top Bottom