Natandikwa za uso mwenzenu

Spark

JF-Expert Member
Apr 5, 2015
1,001
1,024
Wadau kuna manzi mmoja nimeopoa, tunajuana kidogo background za home. Yupo mkoa D nami nipo mkoa S, anataka nimtumie kias cha sh.125,400 afanye mtihani online (focus africa) ili aweze kuajiriwa.

Je, nikwel kuna mitihani inayofanyika online ili mtu apewe ajira au ni upigaji?
 
Mwambie aya afu ukimaliza mtumie mdogo wako, dada yako, kaka, mama au baba ata shilingi 20,000 iliyobaki kale michemsho bia .
 
Kanitumia no.ya simu,anadai hataki niseme nimemwibia! Ila nnamashaka!
Namba ya simu sio official payment system, Mwambie akupe mfumo rasmi wa malipo sababu ya kudisburse your official expenses kwa ajili ya refunds na tax ommition. Mwambie ni lazima na huna namna isipokuwa hivyo.

Akupe Acc number yenye jina la hiyo taasisi au control namba au payment code.

Kama ni uongo atafeli tu na ww shikilia hapo hapo kwenye materminology ya biashara yasiyokuwepo.

Kama ni kweli atakupa oficial payment system then kama unataka utamlipia.
 
Namba ya simu sio official payment system, Mwambie akupe mfumo rasmi wa malipo sababu ya kudisburse your official expenses kwa ajili ya refunds na tax ommition. Mwambie ni lazima na huna namna isipokuwa hivyo....
Mbona unamfundisha roho mbaya na mwenzio keshatumiwa namba ya simu🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom